Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Pondamali anadai kumuuliza Sammata kwamba walikuwa wanafanyaje walipokuwa TP Mazembe hadi kuwapiga waaarabu nje ndani , ambako inadaiwa boss wa Mazembe alikuwa anawatuma mashushushu hadi nje ya nchi kuonana na marefa kufanya fitna za nje ya pazia
Hivyo amewataka yanga kuwekeza pia nje ya uwanja kwa kutumia misumali au chochote .
Pondamali ni Mchezaji wa Zamani na kocha msaidizi wa zamani wa Yanga .
Toa maoni yako .
Eneza Habari
[1]Eneza habari humu duniani
Popote panapo moyo wa huzuni,
Ndimi za Wakristo zitangaze neno,
Yupo mfariji
[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji
[2]
Mfalme wa wafalme, Yesu, umtazame
Ametuletea sifa ya milele
Mateka wapate ukombozi wake,
Yupo mfariji
[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji
[3]
Niwezeje mimi kutamka vizuri
Kumsifu mwokozi aliye mbinguni?
Nitangaze sasa, neno la furaha,
Yupo mfariji.
[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji
[4]
Wenzangu tuimbe nyimbo za milele
Mbinguni tujaze na shukrani tele
Upendo wa Bwana ujulike sana.
Yupo mfariji
[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji