Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb), akichangia Bungeni mjadala wa hotuba ya Rais Samia amesema; “Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia tochi zinaoneka kwa macho”
Mauaji ya halaiki ya October 29 hadi 31 yanainekana dhahiri. Samia Suluhu Hassan tyrant President of the year ananuka damu za maelfu ya watu wasio na hatiaWaziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb), akichangia Bungeni mjadala wa hotuba ya Rais Samia amesema; “Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia tochi zinaoneka kwa macho”
Ulipotelea wapi?Mauaji ya halaiki ya October 29 hadi 31 yanainekana dhahiri. Samia Suluhu Hassan tyrant President of the year ananuka damu za maelfu ya watu wasio na hatia
Nipo sana sheikhUlipotelea wapi?
Karibu bia mkuu. Agiza tena.Nipo sana sheikh