Mtu wa Asali
Senior Member
- May 9, 2022
- 152
- 292
Kaka pokea maua yako uyanuse ukiwa bado una pumzi na akili timamu, Mnyonge ananyongwa haki yake anapewa. Wewe unastahili kuipokea haki yako kwa weledi wako mengine yatakuwa mapungufu ya kibinadamu tu.
Sikuwahi kupata nafasi ya kumjua sana huyu jamaa hadi pale nilipokutana na marafiki zangu waliosoma pale Pugu na kunihadithia machache katika hadithi nzuri sana ambazo zimefichwa na chuki na husda huenda hadithi hii ingesimuliwa kabla ya taarifa ya habari ITV tungekuwa na upungufu wa Panya road.
Achana na story za Motivesheni Spika kina Nanauka wanakupa moyo, Wanakuambia mazuri unayotaka kusikia its good for the hopes but sio kweli kwamba Maisha yamenyooka wima namna ile Maisha yana kanuni zake kwenye kutoboa.
Kielimu Mtoto huyu wa Mama ntilie alipita shule ya msingi Mwambao unaambiwa kisha akasoma bagamoyo sekondary, na kumalizia katika shule ya sekondari Pugu. Elimu ya juu amesoma katika Chuo Kikuu Dar es Salaam mwaka 2013 alipohitimu Shahada ya Kemia.
Alianza siasa mara tu baada ya kuhitimu elimu yake ya chuo hakuwahi kupita popote kwenye ajira aliaamini uwezo wake kwenye kile alichokiamini na kuteuliwa kuwania Ubunge mwaka 2015 na kuibuka kidedea katika uchaguzi huo. Akiwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM, aliweza kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM katika mkoa wa Tanga ni mtu fulani hivi wa kulenga anajua na hakosei.
alikuwa ni mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya Wilaya, mkoa, Kamati Kuu ya CCM taifa. Katika utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wa Hayati Magufuli. Chuma Kilimteua kuwa Naibu Waziri wa Maji akiwa chini ya Le Profesa Makame Mbarawa, na mnamo mwaka 2020 aliteuliwa tena kuwa Waziri wa Maji.
Uzuri wa Aweso ni msomi ana masters yake ana uelewa mkubwa, hakuwahi kufanya kazi popote zaidi ya siasa akikueleza kitu kinakuwa point blank, yani hakina walakini, well researched and well referenced. Ndivyo alivyo mtoto wa mama ntilie mshikaji wa kila mtu hajawahi kuwa busy ukienda popote alipo anamsikiliza kila mtu kwenye ofisi yake pale Pangani amefanya makubwa mno.
Ni kijana aliyezaliwa mkoani Tanga wilaya ya Pangani si kijana wa mjini kama wanavyojinasibu wengine was raised in a good muslim family na Mama mwenye jina la Taifa Mama Ntilie mchoma chapati pale Pangani Imagine mtu anayezaliwa kwenye familia ya aina hii anavyokuwa na usongo wa kutoboa hawa ndiyo waasisi wa ule msemo We left home to change home situation.
Huwezi kumchezea mtu wa aina hii kwenye kazi muda wote wa kazi anamaanisha kazi tu. wapo mainjinia na makandarasi waliokutana na mkono wa chuma wa mtoto wa Mama ntilie huwa anakuhukumu At Spot hazunguki sana kwenye maamuzi ameokoa pesa nyingi za miradi ya maji kama ulikuwa hujui ni Aweso aliyekuwa kinara wa kuupinga mfumo wa manunuzi wa Umma kwa sababu haukuwa na tija kwa kuwa bei zinazotangazwa huwa ni bei kubwa kwa jumla na rejareja, ambazo kimsingi bei huwa kubwa kulliko bei ya soko.
Ndiye muasisi wa mfumo wa manunuzi uliosawa na bei ya soko ili kuzuia serkali kupoteza pesa nyingi katika miradi iliyohitaji pesa kidogo na yenye uhalisia.
Aweso alikuta mradi wa maji kutoa maji Ziwa Victoria ukiwa kwenye makaratasi leo ni asilimia 80 maji yamefika hadi IGUNGA na sasa yatafika Singida na Dodoma.
Yapo mengi ameyafanya bila kuwa na Godfather nyuma yake leo ni moja ya askari wa kikosi cha kwanza kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Pokea Maua yako kaka.