Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
“Hustlers” ni watu wenye janja, fitna na hila kibao. Ni mwendo wa mafanikio binafsi by any means. Ni kawaida ya watu wanaokimbilia siasa hasa upande wa chama tawala huku kwetu kuwa hivyo.Hawa ndiyo true hustlers sasa kwakua Elimu yako ndogo huwezi kujua kuwa hiyo masters ameipata muda gani. Next time tumia akili kufikiria si housing ya meno hiyo.
Kibinafsi atafika mbali. Lakini si mtu wa kutegemewa sana katika kusimamia maadili ya uongozi nchini.