“Hustlers” ni watu wenye janja, fitna na hila kibao. Ni mwendo wa mafanikio binafsi by any means. Ni kawaida ya watu wanaokimbilia siasa hasa upande wa chama tawala huku kwetu kuwa hivyo.Hawa ndiyo true hustlers sasa kwakua Elimu yako ndogo huwezi kujua kuwa hiyo masters ameipata muda gani. Next time tumia akili kufikiria si housing ya meno hiyo.
Maji yanafika Dodoma wakati kanda ya ziwa yanakotoka wananchi hawana maji huu no usanii tu hamna loloteMaji kufika singida na igunga haraka zaidi ni kwa vile vigogo wanayaitaji pale dodoma bila hivyo ingekua mwendo wa kobe
Mbona makasiriko🤣Atakuja kuwa Rais kwenye familia yako na mumeo
Jaribu kuelewa, unategemea mtu wa hivi ndio akuletee maendeleo kwenye level ya uwaziri?. unafikiri mtu huyu anaweza kuwa na upeo wa kufikiri, kuwaza, kutoa maamuzi na kuyasimamia?.
mfano, mfananishe kwa uelewa na mtu kama Hussein Bashe labda unaweza kunielewa. Huwezi ukampa mtu cheo cha uwaziri ambaye hajawahi kufanya kazi popote kwenye level ya maamuzi na kuleta matokeo. Hakuwahi kusimamia biashara yeyote iwe yake au ya mtu na ikapata mafanikio. Mafanikio yake ni Degree na Master unamuita true hustller.
Ndo maana alichukua mke wa mwenzie DC wa pangani akamfanya mke wa pili.Jaribu kuelewa, unategemea mtu wa hivi ndio akuletee maendeleo kwenye level ya uwaziri?. unafikiri mtu huyu anaweza kuwa na upeo wa kufikiri, kuwaza, kutoa maamuzi na kuyasimamia?.
mfano, mfananishe kwa uelewa na mtu kama Hussein Bashe labda unaweza kunielewa. Huwezi ukampa mtu cheo cha uwaziri ambaye hajawahi kufanya kazi popote kwenye level ya maamuzi na kuleta matokeo. Hakuwahi kusimamia biashara yeyote iwe yake au ya mtu na ikapata mafanikio. Mafanikio yake ni Degree na Master unamuita true hustller.
Huyu ni mla rushwa mzuri sn sema watu hawamjui vizuri type ya akina Kipara
Mheshimiwa Aweso unikumbuke katika ufalme wako, nauona ufalme ukija kwa speed of light [emoji28]
Kuna rushwa kubwa sana kwenye miradi ya maji. hasa kwenye hizi mamlaka za bonde kama Ruvu basin nk. na nadhani Rushwa zile zinamfikia mpaka yeye mwenyewe Aweso. Wanasiasa wanajua sana kuficha madhambi yaondo kipaji pekee walichojaaliwaHuyu ni mla rushwa mzuri sn sema watu hawamjui vizuri type ya akina Kipara
Kama yeye hachumii tumboni basi adhibiti rushwa kwenye miradi ya maji kuna upigaji mkubwa sana huko kama yeye kweli hahusiki basi adhibiti vinginevyo zitakuja kumchafulia vibaya sanaHuyu dogo nimemchunguza sana. Dogo yupo vizuri kwenye utendaji wake hana tamaa ya tumbo waulize wasaka fursa mjini wanafahamu dogo asivyopenda kuwa na mikono michafu.
Kama yeye hachumii tumboni basi adhibiti rushwa kwenye miradi ya maji kuna upigaji mkubwa sana huko kama yeye kweli hahusiki basi adhibiti vinginevyo zitakuja kumchafulia vibaya sana
Nakataa ana uchungu na nchi yake huyu jamaaHuyu ni mla rushwa mzuri sn sema watu hawamjui vizuri type ya akina Kipara
Miradi ina Rushwa kwenye tender au sehemu g
Kuna miradi na kuna activities humo watendaji wanapiga sana ktk utekelezaji wa hizo activities zingine ni hewa tu hazifanyiki lakini zinakua na full retirenment nk. Saizi wafanyakazi wa Mamlaka za maji pamojana mabonde (Basin) wana jeuri kama wafanyakazi wa TRA tu ndo ujiulizeMiradi ina Rushwa kwenye tender au sehemu gani tujuze.
Kuna miradi na kuna activities humo watendaji wanapiga sana ktk utekelezaji wa hizo activities zingine ni hewa tu hazifanyiki lakini zinakua na full retirenment nk. Saizi wafanyakazi wa Mamlaka za maji pamojana mabonde (Basin) wana jeuri kama wafanyakazi wa TRA tu ndo ujiulize
Chawa chawani