Jumaa Aweso ushauri wangu kwako

Jumaa Aweso ushauri wangu kwako

Level ya Uwaziri inamtaka waziri husika kabla ya kuchukua maoni ya wadau kabla ya kuamua chochote au kupitia ripoti za tafiti zilizofanyika before.

Kama hakukuuliza ushauri, unapoteza muda kumshauri sababu ameshaamua na yawezakuwa ni fursa kwake Kwa uamuzi alochukua.
Chochote afanyacho huyu Waziri kama hanufaiki nacho hakifanyiki. Ni mchumia tumbo mzuri na mtu wa kudanganya maza kwa media akijionyesha mchapa kazi
 
Haya mambo unawashauri watu ambao kwa mwaka wao wa fedha hawana hata kilomita moja ya lami.

Waste of energy.
 
Chochote afanyacho huyu Waziri kama hanufaiki nacho hakifanyiki. Ni mchumia tumbo mzuri na mtu wa kudanganya maza kwa media akijionyesha mchapa kazi
Mmmh? Nipe uthibitisho
 
Back
Top Bottom