Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Baba V naomba ujiandae mwezi ujao tunaenda kutoa mahali ya Madame B,hapo ndo utajiuliza kwa nini warren buffet na billy gates ni matajiri wa dunia lakini wanatembelea magari ya zamani


Chilli na tedo mnajua huyu dogo Chimbuvu kajiona amegundua gari mpya kumbe ishapiga ruti kibao ndani na nje ya jiji, it is just a matter of time atagundua kuwa hodi ya chooni haiitikiwi KARIBU!!
 
Last edited by a moderator:
Fm__Pancho_Mwamba.jpg

Nicas Mtei atafanya Show na kundi lake maarufu la KAMCHAPE ili kupendezesha Show hiyo a Madame B siku ya Jumamosi

Maandalizi yanaendelea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom