We kile kipamba hakunaga, kitamu.
Mpaka unasinzia kwa utamu.
Ashhh.......!!!!
halafu ukute chachokonoa matundu yote mawili...
shem ubaya wantafuta.
Tundu lipi na lipi?
kwani weye una masikio mangapi jamani...
ahaaaaa....
Basi uwe unaongea kwa herufi kubwa shem.
Wengine sie 'ngale' mwezi wa 9 huu.
hahahah mawazo yako yalienda mbali kweli kweli...
Sasa je!
Unanitonesha makovu shem.
mmh pole jaman...mind If I ask ni makovu gn tena
Nicas Mtei atafanya Show na kundi lake maarufu la KAMCHAPE ili kupendezesha Show hiyo a Madame B siku ya Jumamosi
nita ku-PM shem.
Hapa hadhwarani.