ha haaaaaaaaa, naisubiria kwa hamu hiyo siku........
haya haya aso mwana aeleke jiwe
bora umuulize jamani mana kha!We Nicas Mtei wahangaika na nini?
bora umuulize jamani mana kha!
akuache miaka 1000000000000ndo hapo chacha.
akuache miaka 1000000000000
nita ku-PM shem.
Hapa hadhwarani.
We Nicas Mtei wahangaika na nini?
mbona marejesho kama sura imemkauka hivi anaona wivu nini
Wala sio wivu Kapalampya .. Mie ndoa ninayo tena , yenye furaha tele na mume wangu Filipo ...
Hapo nilisikitika kukosa khanga moko... Wenzangu wote snowhite na cacico mapaja nje nje mie ndio nilienda na wrong dress code... Zinduna siku nyingine unipe picha kabisa ya mavazi ili nisiumbuke tena.....
We unafikir wanyarwanda walipoimba KWETU PAZURI walimaanisha zile barabara za Kigali?ahahahhahahhahhahahhahahhahha chezeya bhatoto bha KAGHAME!bamembananisha shem wangu Nicas Mtei kila anachopost anahisi bora afute tu!ahahhahahhahha chezeya vitu vya namuna hii!We Nicas Mtei wahangaika na nini?
We unafikir wanyarwanda walipoimba KWETU PAZURI walimaanisha zile barabara za Kigali?ahahahhahahhahhahahhahahhahha chezeya bhatoto bha KAGHAME!bamembananisha shem wangu Nicas Mtei kila anachopost anahisi bora afute tu!ahahhahahhahha chezeya vitu vya namuna hii!