Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Daaaaah bora ndugu yangu unisaidie mi sina usemi hapa!

ndugu thpika zinduna,mimi nina kaswali kadogo unitunzie,mimi namuuluza .madamB hivi: hivi we mwanamke kare karufundi ka kwetu tulikomfundisha Ruttashobolwa hakakutoshi kweli mpaka unakwenda kula kwa jirani?
 
Last edited by a moderator:
Huwa sisomi sms za mpenzi wangu kwa hilo Ruttashobolwa nimelifumbia jicho kwa muda na kwa uchunguzi zaidi.maana hapa si kuwa unaweza kunata tu bali hata midomo itanata
 
Last edited by a moderator:
Kuna huwezekano wa kunasa kwa mke wako mwenyewe?

Huwa sisomi sms za mpenzi wangu kwa hilo Ruttashobolwa nimelifumbia jicho kwa muda na kwa uchunguzi zaidi.maana hapa si kuwa unaweza kunata tu bali hata midomo itanata
 
Last edited by a moderator:
Suala unalotaka kulileta ni mgogoro mkubwa sana kama wa israel na palestina, mimi nikiwa israel na wewe Ruttashobolwa ni mpalestina tedo ni hamas Chilli ni hezbolah,nyote mko against israel ambaye ni mimi xo u better be carefull,,mimi kwangu mkijaribu sio kwamba itanata hapana bali haitasimama

Kuna huwezekano wa kunasa kwa mke wako mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:

Bora uwaambie wangu.
 
Last edited by a moderator:
Mwache mwenzio avunje mifupa wakati bado meno iko. Hujambo Madame B?

Avunje mifupa wakati nyumbani kaacha mke na watoto wanaomtegemea?
Me sijambo kbs Mme wangu wa zamani.
Mkeo hajambo?
Afu we mbayaaaaaaa......!!!!!!!!!!!
 
ndo naenda leo. Ratiba iliparaganyika

mzee hilo safari la kwenda kutoa mahari nini, muda wote ilibidi kutanguliza kikosi kazi kwanza kwenda kuweka mambo sawa kabla ya kupata Go Ahead...
 
Avunje mifupa wakati nyumbani kaacha mke na watoto wanaomtegemea?
Me sijambo kbs Mme wangu wa zamani.
Mkeo hajambo?
Afu we mbayaaaaaaa......!!!!!!!!!!!

Nicas Mtei bado hajawowa bhana! Amekwenda kutafuta muke....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…