Afu wewe, hivi una tatizo gani wewe!???
mmmh! leo sitakuwepo online hadi mishale ya usiku duh! ila naomba niziwah hizi dk chache nimpemo desa bi mkubwa Madame B.
kumbuka tui la nazi halitengenezi mtindi bibie sasa wasikujazie inzi, pia ukumbuke tarehe 14 dec lazima jiji lirindime kwa full shangwe za gfsonwin, cacico, snowhite na Madame B. sasa wasikuchoshe kabisaaa.............lkn mwali waeke mtu kati wababa wa jf hadi wayataje majina yao ya utotoni.
Zinduna i love the show but sitokuwepo mweeee! wakimbize sana sana hadi wakome wenyewe. baada ya show naomba BAK atuwekee wimbo mzuriiiiiiiiii wa kusindikizia na Asprin atoe ofa ya Mtambuzi pub
Kigali siyo pa kwenda kabisa mkuu.
Pale panaitwa tamu chungu!
gfsonwin Show ya leo itaongozwa na Erickb52 na mimi nitakuwa nyuma ya pazia nikiweka mambo sawa, si unajua kwamba ni vyema kuwa na ladha tofauti mili walaji wasichoshwe na mapishi.mmmh! leo sitakuwepo online hadi mishale ya usiku duh! ila naomba niziwah hizi dk chache nimpemo desa bi mkubwa Madame B.
kumbuka tui la nazi halitengenezi mtindi bibie sasa wasikujazie inzi, pia ukumbuke tarehe 14 dec lazima jiji lirindime kwa full shangwe za gfsonwin, cacico, snowhite na Madame B. sasa wasikuchoshe kabisaaa.............lkn mwali waeke mtu kati wababa wa jf hadi wayataje majina yao ya utotoni.
Zinduna i love the show but sitokuwepo mweeee! wakimbize sana sana hadi wakome wenyewe. baada ya show naomba BAK atuwekee wimbo mzuriiiiiiiiii wa kusindikizia na Asprin atoe ofa ya Mtambuzi pub
Hahahaaa kila swali moja unapata Balimi moja
Nina Upungufu Wa Bwana Nyumbani (UBWANYU).
mie sina swali akili imestuck Erick napositia kitandani,me sick sick me,
thanx TANMO nimemuona MziziMkavu bana si unajua tena haya magonjwaPole Mamii, nini mbaya?
Umemwona Dr. Riwa lakini?
Heheheee dawa zake unaziamini?Usikute ndio zinazokuzidishia ugonjwa aiseethanx TANMO nimemuona MziziMkavu bana si unajua tena haya magonjwa
Nina Upungufu Wa Bwana Nyumbani (UBWANYU).