Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

mmmh! leo sitakuwepo online hadi mishale ya usiku duh! ila naomba niziwah hizi dk chache nimpemo desa bi mkubwa Madame B.

kumbuka tui la nazi halitengenezi mtindi bibie sasa wasikujazie inzi, pia ukumbuke tarehe 14 dec lazima jiji lirindime kwa full shangwe za gfsonwin, cacico, snowhite na Madame B. sasa wasikuchoshe kabisaaa.............lkn mwali waeke mtu kati wababa wa jf hadi wayataje majina yao ya utotoni.
Zinduna i love the show but sitokuwepo mweeee! wakimbize sana sana hadi wakome wenyewe. baada ya show naomba BAK atuwekee wimbo mzuriiiiiiiiii wa kusindikizia na Asprin atoe ofa ya Mtambuzi pub

Hahahahahaaaaaaa.......!!!!!!!!!!!!
Mamito gfsonwin usijali.
Hiyo shughuli yako itakuwa Pambe,Ucpime.
 
Last edited by a moderator:
mmmh! leo sitakuwepo online hadi mishale ya usiku duh! ila naomba niziwah hizi dk chache nimpemo desa bi mkubwa Madame B.

kumbuka tui la nazi halitengenezi mtindi bibie sasa wasikujazie inzi, pia ukumbuke tarehe 14 dec lazima jiji lirindime kwa full shangwe za gfsonwin, cacico, snowhite na Madame B. sasa wasikuchoshe kabisaaa.............lkn mwali waeke mtu kati wababa wa jf hadi wayataje majina yao ya utotoni.
Zinduna i love the show but sitokuwepo mweeee! wakimbize sana sana hadi wakome wenyewe. baada ya show naomba BAK atuwekee wimbo mzuriiiiiiiiii wa kusindikizia na Asprin atoe ofa ya Mtambuzi pub
gfsonwin Show ya leo itaongozwa na Erickb52 na mimi nitakuwa nyuma ya pazia nikiweka mambo sawa, si unajua kwamba ni vyema kuwa na ladha tofauti mili walaji wasichoshwe na mapishi.

Basi leo hii nawaleteeni kijana wa R Chuga ili tusikie lafudhi ya Kiarusha.
 
hahhahahah! leo ni leo mwali lkn huyu hata mweza huyu manake yanahitajika maswali ya mtima atii kumdodosa Madame B
 
Last edited by a moderator:
TANMO subiri show ikianza uje uulize huku ni taarifa tu acha haraka
Mlete na FP mkeo wa zamani

Ndiyo uliweke swali langu kwenye orodha ya maswali.
FP alinipa tahadhari kama napenda maisha yangu basi nikae mbali naye...
Sa'ivi naogopa hata kumwongelesha nisije nika-:rip:
 
Hahahahahaaaa TANMO umenichekesha aisee yan kiukweli dah eti uka RIP dah
 
Last edited by a moderator:
thanx TANMO nimemuona MziziMkavu bana si unajua tena haya magonjwa

Ni changamoto tu za dunia Mamii.
206048.gif
 
Back
Top Bottom