Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Mimi nataka nimuulize muulizwa maswali: Je unavuta Bhange? Kama huvuti ni kwa nini?

Kazi kweli kweli, hii sasa hatari, Jf isije ikaleta mauaji ya kimbari, naona ugomvi wa kumgombea dada FP unaendelea!!

Dada FP njoo utoe tamko, hawajamaa watulie!!
 


Kwa upande wa maji wala usihofu, watakaohusika na jukumu hilo ni hao warembo hapo juu, kutoka kushoto ni charminglady, Ciello na Kipipi. wao watakuwa na jukumu kubwa la kutusaidia kupoozesha makoo yetu

my wife Preta ataleta manji ya Kilimanjaro, mimi nitaleta maji Ndanda.

pia nitaongoza kundi la Ngoni traditional dance nikiwa na Dada FP, Snowhite, Babu DC, Mzee Tupa Tupa, Kipipi atashiriki pia.Watu8 na Platozoom watakuwa na vitambaa vya kutufuta jasho. Hizo zote ni harakati za kumpiga tafu Nicas Mtei.
 

Filipo huyu mpenda mipododo?

Mbona wewe umekauka! Mume si riziki dada
 

hahahaha....
 
Shem wa ukweeh so far unatisha...weraaa Madame B
 
Last edited by a moderator:

Babu unaua khaaa!!!
 

Daa, Ahsante Erickb52 kwa hi inclusion, nilikuwa nalea kwanza sijui nimechelewa sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…