Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Mimi nataka nimuulize muulizwa maswali: Je unavuta Bhange? Kama huvuti ni kwa nini?

Kazi kweli kweli, hii sasa hatari, Jf isije ikaleta mauaji ya kimbari, naona ugomvi wa kumgombea dada FP unaendelea!!

Dada FP njoo utoe tamko, hawajamaa watulie!!
 
Fm__Pancho_Mwamba.jpg

Nicas Mtei atafanya Show na kundi lake maarufu la KAMCHAPE ili kupendezesha Show hiyo a Madame B siku ya Jumamosi

Asante Zinduna, really JF is for life!! Sitarudi nyuma kamwe, kaa nami Jf kamwe usiende mbali!!
 
33561_107206476009899_100001616412253_64665_6095414_n+%281%29.jpg


Kwa upande wa maji wala usihofu, watakaohusika na jukumu hilo ni hao warembo hapo juu, kutoka kushoto ni charminglady, Ciello na Kipipi. wao watakuwa na jukumu kubwa la kutusaidia kupoozesha makoo yetu

my wife Preta ataleta manji ya Kilimanjaro, mimi nitaleta maji Ndanda.

pia nitaongoza kundi la Ngoni traditional dance nikiwa na Dada FP, Snowhite, Babu DC, Mzee Tupa Tupa, Kipipi atashiriki pia.Watu8 na Platozoom watakuwa na vitambaa vya kutufuta jasho. Hizo zote ni harakati za kumpiga tafu Nicas Mtei.
 
Wala sio wivu Kapalampya .. Mie ndoa ninayo tena , yenye furaha tele na mume wangu Filipo ...
Hapo nilisikitika kukosa khanga moko... Wenzangu wote snowhite na cacico mapaja nje nje mie ndio nilienda na wrong dress code... Zinduna siku nyingine unipe picha kabisa ya mavazi ili nisiumbuke tena.....

Filipo huyu mpenda mipododo?

Mbona wewe umekauka! Mume si riziki dada
 
my wife Preta ataleta manji ya Kilimanjaro, mimi nitaleta maji Ndanda.

pia nitaongoza kundi la Ngoni traditional dance nikiwa na Dada FP, Snowhite, Babu DC, Mzee Tupa Tupa, Kipipi atashiriki pia.Watu8 na Platozoom watakuwa na vitambaa vya kutufuta jasho. Hizo zote ni harakati za kumpiga tafu Nicas Mtei.

hahahaha....
 
Shem wa ukweeh so far unatisha...weraaa Madame B
 
Last edited by a moderator:
Asprin said:
Natamani ukutane na Ndaga ze destroyer,
wanawake wenzako wapendao makubwa huwa
wanaingiaga mitini katikati ya game.
Ukiwauliza kulikoni asilimia kubwa wanasema
"Akhaa !mwanaume gani yule badala ya
kutumia zakari ye anaingiza goti!"
Ntakutumia namba zake lakini usilalamike
sikukuonya.

Babu unaua khaaa!!!
 
TANGAZO
Leo Zinduna Show itaongozwa na kijana wenu Erickb52....!
Taarifa hizi naomba mzipate Arushaone Ruttashobolwa Katavi Preta Filipo cielo Kaunga sweetlady nitonye Vin desiel Mr Rocky Kipipi gfsonwin Kaizer Asprin Bishanga Baba V lara 1 St. Paka Mweusi wakati ndio sasa Ronn M ummu kulthum Mirhea The Boss LiverpoolFC marejesho charminglady Blaki Womani C6 PakaJimmy Mzee wa Rula Dark City Smile Mamndenyi AshaDii CUTE Judgement ndetichia Mungi Kabakabana TANMO KakaKiiza Mentor Kongosho mtu chake Mamzalendo BAGAH Nicas Mtei Smiling Saint Rejao eliah g. kamwela Eiyer Elizabeth Dominic beibe nasty stevoh King'asti Mtambuzi FirstLady1 afrodenzi
measkron KOKUTONA Catherine Ruhazwe JR Saint Ivuga Mwali Kijino moto2012 snowhite FP YNNAH Yummy cacico BADILI TABIA

Wote nawaomba mshiriki kwenye show hii ya ukweli ambayo haijawahi kutokea tangu kipindi hiki kianzishwe!
Ulizeni swali lolote litajibiwa kwa ufasaha kabisa!
Karibuni sana tuwe pamoja!
Chit Chat inajegwa na sisi!

I remain
Erickb52

Daa, Ahsante Erickb52 kwa hi inclusion, nilikuwa nalea kwanza sijui nimechelewa sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom