Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

mzee hilo safari la kwenda kutoa mahari nini, muda wote ilibidi kutanguliza kikosi kazi kwanza kwenda kuweka mambo sawa kabla ya kupata Go Ahead...

Well said watu8! hapa toto la kitutsi linamuhu Nicas Mtei!!
 
Last edited by a moderator:
Guest of honour niko hapa na Mamzalendo tutakuwa high table na Zinduna, ila show ikiisha bahasha ya kaki yenye something inatuhu pamoja na yote hakuna TAKUKURU leo.
 
Last edited by a moderator:
Habari yako bhanaaaaaa

TANGAZO
Leo show Zinduna Show itaongozwa na kijana wenu Erickb52....!
Taarifa hizi naomba mzipate Arushaone Ruttashobolwa Katavi Preta Filipo cielo Kaunga sweetlady nitonye Vin desiel Mr Rocky Kipipi gfsonwin Kaizer Asprin Bishanga Baba V lara 1 St. Paka Mweusi wakati ndio sasa Ronn M ummu kulthum Mirhea The Boss LiverpoolFC marejesho charminglady Blaki Womani C6 PakaJimmy Mzee wa Rula Dark City Smile Mamndenyi AshaDii CUTE Judgement ndetichia Mungi Kabakabana TANMO KakaKiiza Mentor Kongosho mtu chake Mamzalendo BAGAH Nicas Mtei Smiling Saint Rejao eliah g. kamwela Eiyer Elizabeth Dominic beibe nasty stevoh King'asti Mtambuzi FirstLady1 afrodenzi

Wote nawaomba mshiriki kwenye show hii ya ukweli ambayo haijawahi kutokea tangu kipindi hiki kianzishwe!
Ulizeni swali lolote litajibiwa kwa ufasaha kabisa!
Karibuni sana tuwe pamoja!
Chit Chat inajegwa na sisi!

I remain
Erickb52
 
Mimi nataka nimuulize muulizwa maswali: Je unavuta Bhange? Kama huvuti ni kwa nini?
 
TANGAZO
Leo show Zinduna Show itaongozwa na kijana wenu Erickb52....!
Taarifa hizi naomba mzipate Arushaone Ruttashobolwa Katavi Preta Filipo cielo Kaunga sweetlady nitonye Vin desiel Mr Rocky Kipipi gfsonwin Kaizer Asprin Bishanga Baba V lara 1 St. Paka Mweusi wakati ndio sasa Ronn M ummu kulthum Mirhea The Boss LiverpoolFC marejesho charminglady Blaki Womani C6 PakaJimmy Mzee wa Rula Dark City Smile Mamndenyi AshaDii CUTE Judgement ndetichia Mungi Kabakabana TANMO KakaKiiza Mentor Kongosho mtu chake Mamzalendo BAGAH Nicas Mtei Smiling Saint Rejao eliah g. kamwela Eiyer Elizabeth Dominic beibe nasty stevoh King'asti Mtambuzi FirstLady1 afrodenzi
@measkron KOKUTONA Catherine Ruhazwe JR Saint Ivuga Mwali Kijino moto2012 snowhite FP YNNAH Yummy cacico BADILI TABIA

Wote nawaomba mshiriki kwenye show hii ya ukweli ambayo haijawahi kutokea tangu kipindi hiki kianzishwe!
Ulizeni swali lolote litajibiwa kwa ufasaha kabisa!
Karibuni sana tuwe pamoja!
Chit Chat inajegwa na sisi!

I remain
Erickb52

hahaha ukimaliza show naomba offer ya Balimi Exra lager
 
Erickb52 umeharibu ule mpango, mie nilitaka tufanye SURPRISE sasa wewe unapiga upatu huku mtaa wa pili mweh!
Unakuwa kama vile hujapelekwa jandoni?
 
Last edited by a moderator:
mmmh! leo sitakuwepo online hadi mishale ya usiku duh! ila naomba niziwah hizi dk chache nimpemo desa bi mkubwa Madame B.

kumbuka tui la nazi halitengenezi mtindi bibie sasa wasikujazie inzi, pia ukumbuke tarehe 14 dec lazima jiji lirindime kwa full shangwe za gfsonwin, cacico, snowhite na Madame B. sasa wasikuchoshe kabisaaa.............lkn mwali waeke mtu kati wababa wa jf hadi wayataje majina yao ya utotoni.
Zinduna i love the show but sitokuwepo mweeee! wakimbize sana sana hadi wakome wenyewe. baada ya show naomba BAK atuwekee wimbo mzuriiiiiiiiii wa kusindikizia na Asprin atoe ofa ya Mtambuzi pub
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom