Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Madame B, ulishwahi ku-do as a result of too much "DOMPO"!?? Yani hukuwa na plans na mshkaji ila dompo ilivyozidi mkajikuta 'mme-do ze nidful' (vocabulary kwa hisani ya babu Asprin)
 
Last edited by a moderator:
nawenza kuanzisha pindi langu ndani la pindi lako ambalo talipa jina la malavidavi chit chat showwwwwww!
 
Madame B alinifurahisha tu alivyosema yeye ni samaki analika pande mbili...mashallah....mtoto wayajua mahaba weye!!!
 
JF tangu ibadilike watu wengi hawachangii sana.

27514.jpg


Mapozi haya hayakuwepo kipindi hicho!
 
Back
Top Bottom