Jumamosi kuna uchaguzi wa Diwani Bagamoyo, nimeona Bendera za CHADEMA Stendi na Sokoni

Sijaelewa kama hizi bendera mpya za Chadema hapa Bagamoyo ndio maandalizi ya Mikutano ya hadhara au kampeni za Diwani

Bagamoyo watakuwa na uchaguzi wa Diwani siku ya Jumamosi
Kwani wewe ni kipenyo? Unatafuta nini bagamoyo? Na hii taarifa unampa Nani na unategemea aifanyie nini? Punguza unaa na kujipendekeza shemela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…