theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
daaaaah πππππ kosa liko wapi hapo.. pole sana aseeloooh nina week tu nilipata ban ya siku tatu kosa ni kusema ngoja waje cc hajar nimekoma
Sent using Jamii Forums mobile app
kisa nimesema ngoja waje jamani had nikashangaadaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kosa liko wapi hapo.. pole sana asee
ndani ya hizo siku 3 ndio nimeamini jf ni addictionJf ni kama betting tu ngumu kuacha....
Kipindi kile wamepigwa BAN mwezi mzima nilipata tabu sana....
Nikajaribu kwenda Kenya talk kule ndio hakufai kabisa ikanibidi nitulie tu hakuna namna ila nilipata tabu kidogo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ee rafiki angu sema mdo hakuna namna unakua mpole tu manake umeshika makaliDuuh! Pole sana rafiki wa Hajar.
Hizi Ban sio kabisa. [emoji23][emoji23]
huko nahisi kuna watu wengi sana πππHuko jela wengine wafungwa ni akina nani umewaacha?
ππππ hatari sana
daaah pole sana
Na imani utakuwa umetambua ya kuwa JF ni tamu kuliko papuchi Mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]ndani ya hizo siku 3 ndio nimeamini jf ni addiction
asante sana mkuu
baada ya hyo comment naimani utarudishwa tena kifungoni [emoji23][emoji23][emoji23]
labda sababu sijawahi pata arosto ya papuchi... ila kwa ile arosto ya jf acha tu niseme jf tamu πππNa imani utakuwa umetambua ya kuwa JF ni tamu kuliko papuchi Mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
afadhari bado upo mkuu maana hizi ban bwana
Labda baadaye wanaeza nipitisha hiviafadhari bado upo mkuu maana hizi ban bwana
πππππ[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Shida nini[emoji23][emoji23]ban ni ka profile tu ambako mods wana kusaidia kuka weka kweny dp yako labda ukua ume weka pic nzuri View attachment 842966
Sent using Jamii Forums mobile app