ilikuwa jumamosi saa sita naingia zangu jf ili nikapitie uzi wa
Raynavero kuhusu jf ingekuwa shule ya bweni mara paaap nakutana na
Padlock kosa likiwa highlighted kwa chini
hapo ndipo nikagundua kuwa siyo kila anayekwenda jela huwa ana hatia kwa kweli....
ila BAN imenifanya nigundue kuwa jf ni kama madawa ya kulevya ukishaianza ukiikosa unapata arosto ambayo haiwezi tibika kwa mtandao mwingine wowote zaidi ya jf basi nikawa naingia kwa kutumia browser nyingine nikiwa kama guest yaani read only na hapo thread nyingine hazifunguki sababu ya seting za privacy nahisi
sasa nikajiuliza kama mimi sipo active kihivyo na weekend yangu ikawa hovyo kabisa sababu ya arosto ya kukosa jf sasa huwa hali inakuwaje kwa member wakongwe na active pale wapatapo BAN
nakumbuka
Shunie alikula BAN sasa najiuliza dada angu hivi hali ilikuwaje au BAN umezizoea
dada mkuu
amu vipi umeshawahi pata BAN je hali ilikuwaje by the way pole niliona kijana ema (C.I.A) Agent alivyo kudisapoint ila ndio hivyo nilishindwa kucoment sababu niliingia kama guest maana id yangu ilikuwa gerezani
Nyani Ngabu vipi the chimney ngabu umeshawahi kwenda gerezan je hali ilikuwaje maana mimi sipo active sana lakin niliumizwa sana na kushindwa kuingia humu kwa siku tatu je nyie wenzangu wakongwe na active members sihuwa hizi BAN zinawaumiza sana
cc
theriogenology Duke Tachez Numbisa Castr