Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

ilikuwa jumamosi saa sita naingia zangu jf ili nikapitie uzi wa Raynavero kuhusu jf ingekuwa shule ya bweni mara paaap nakutana na Padlock kosa likiwa highlighted kwa chini

hapo ndipo nikagundua kuwa siyo kila anayekwenda jela huwa ana hatia kwa kweli....

ila BAN imenifanya nigundue kuwa jf ni kama madawa ya kulevya ukishaianza ukiikosa unapata arosto ambayo haiwezi tibika kwa mtandao mwingine wowote zaidi ya jf basi nikawa naingia kwa kutumia browser nyingine nikiwa kama guest yaani read only na hapo thread nyingine hazifunguki sababu ya seting za privacy nahisi

sasa nikajiuliza kama mimi sipo active kihivyo na weekend yangu ikawa hovyo kabisa sababu ya arosto ya kukosa jf sasa huwa hali inakuwaje kwa member wakongwe na active pale wapatapo BAN

nakumbuka Shunie alikula BAN sasa najiuliza dada angu hivi hali ilikuwaje au BAN umezizoea

dada mkuu amu vipi umeshawahi pata BAN je hali ilikuwaje by the way pole niliona kijana ema (C.I.A) Agent alivyo kudisapoint ila ndio hivyo nilishindwa kucoment sababu niliingia kama guest maana id yangu ilikuwa gerezani

Nyani Ngabu vipi the chimney ngabu umeshawahi kwenda gerezan je hali ilikuwaje maana mimi sipo active sana lakin niliumizwa sana na kushindwa kuingia humu kwa siku tatu je nyie wenzangu wakongwe na active members sihuwa hizi BAN zinawaumiza sana

cc theriogenology Duke Tachez Numbisa Castr
Ulivyopewa BAN likes zako zilifutwa pia mkuu, au zilibaki vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwasema chadema nini....!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks God tangu nijiunge nimefungwa mara moja tu I together with my one and only Smart911 the great king.. .. same day same hour same time same topic same reasons... ila mimi niliwahi kuachiwa.. 1 day nyuma yake

sijajua huku mbele...
Siku ile nilishangaa hata mimi BAN imetokea wapi...

Nikaja kupewa reason...

Nikapotezea tu... hata hivyo ilikua BAN ya wengi...
 
Pole sana...

Niliwahi kula BAN mara moja... ila ilikua BAN ya wengi... karibia wengi tuliyochangia huo uzi tulipewa BAN...

Ila nahisi ile BAN ilikua reported..

Cc: mahondaw
 
asante mkuu.... yani kila mda nilikuwa naingia nikifiri ntakuta waniondolea kifungo kwa kuona labda wamenifunga kwa kosa dogo sana ila wapi [emoji23][emoji23]
Naomba nisimulie huyu kijana ema kafanyaje naona ni gumzo,niliona aliomba msaada wa godoro,uzi ukawa mrefu nikaona uvivu kuusoma wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom