Single_Father
JF-Expert Member
- Jan 23, 2025
- 281
- 438
Mara aseme kitengo,Mara kambini Mara yuko na Mseven ikulu,Uko kambi ya fisi au kambi gani, mkuu?
Naomba uwe serious hii kauli Yako naichukulia kwa uzito mno.Yanga kufungwa kifurushi kuko palepale
Uliwahi kuwapa moyo mashabiki wa Simba ile mwaka juzi kwamba Simba tutashinda ile game. Matokeo yake tukapigwa 5, toka ile siku hatukuwahi kuchukulia maneno yako seriously.Kuna Wapumbavu hapa niliposema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Yanga SC 100% wakanibishia labda leo kwakuwa nawe pia Umethibitisha hapa watanielewa na Kukubali kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na sina Mpinzani.
Nilikulazimisha uyaamini 100%? Hopeless!!!!Uliwahi kuwapa moyo mashabiki wa Simba ile mwaka juzi kwamba Simba tutashinda ile game. Matokeo yake tukapigwa 5, toka ile siku hatukuwahi kuchukulia maneno yako seriously.
Sawa Oscar tumekusikiaNa ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
GENTAMYCINE ninafananishwa na kila Mtu.Sawa Oscar tumekusikia
Mimi ni shabiki wa Yanga, na najua jumamosi hii ni zamu yetu sisi wananchi kula kipigoGENTAMYCINE ninafananishwa na kila Mtu.
We nawe mwanahabari???Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Hakuna kinachoshindikana.Tutandikwe tena kwa mara ingine? dah!