Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

,,,,,,,👇👇👇
 
Attachments

  • FB_IMG_1741259157798.jpg
    FB_IMG_1741259157798.jpg
    50 KB · Views: 1
Kuna Wapumbavu hapa niliposema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Yanga SC 100% wakanibishia labda leo kwakuwa nawe pia Umethibitisha hapa watanielewa na Kukubali kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na sina Mpinzani.
Uliwahi kuwapa moyo mashabiki wa Simba ile mwaka juzi kwamba Simba tutashinda ile game. Matokeo yake tukapigwa 5, toka ile siku hatukuwahi kuchukulia maneno yako seriously.
 
Uliwahi kuwapa moyo mashabiki wa Simba ile mwaka juzi kwamba Simba tutashinda ile game. Matokeo yake tukapigwa 5, toka ile siku hatukuwahi kuchukulia maneno yako seriously.
Nilikulazimisha uyaamini 100%? Hopeless!!!!
 
Msemaji ni mfanyakazi, yani hana tofautina mchezaji, muda wowote akipata dili kubwa la tema pinzani anahamia huko.
 
Back
Top Bottom