GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,805
Kuna matangazo yanatolewa na wakuu wa wilaya na mikoa kuwa siku ya jumamosi ni siku ya mazoezi, kutakuwa na mchaka mchaka hii yote ni kujenga afya za watanzania.
Kwa Dodoma utaanzia bungeni hadi kiwanja cha jamhuri pia baada ya hapo kutakuwa na kupima afya pia na tezi dume.
Ushauri wangu kwa viongozi hizi nguvu mngeelekeza kwenye kupigana na vita hii inayoendelea acheni kutuigizia kabisa.