Jumamosi ni siku ya mazoezi Tanzania

Jumamosi ni siku ya mazoezi Tanzania

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
Kuna matangazo yanatolewa na wakuu wa wilaya na mikoa kuwa siku ya jumamosi ni siku ya mazoezi, kutakuwa na mchaka mchaka hii yote ni kujenga afya za watanzania.

Kwa Dodoma utaanzia bungeni hadi kiwanja cha jamhuri pia baada ya hapo kutakuwa na kupima afya pia na tezi dume.

Ushauri wangu kwa viongozi hizi nguvu mngeelekeza kwenye kupigana na vita hii inayoendelea acheni kutuigizia kabisa.
 
Mwanza walikimbia kutoka Furahisha mpaka mzunguko wa Samaki.
Ilipendeza sana.
 
kesho watu huko kazini watalala tu wanatamani kuweka miguu juu wenzenu mazoezi tumeanza toka chandimu
 
Back
Top Bottom