Uchaguzi 2020 Jumamosi ya tarehe 10 Oktoba itakuwa siku ya kutamaniwa na makundi mengi kumsikiliza Tundu Lissu baada ya kufungiwa kufanya kampeni

Tunasubiri kuwapishwa kwa Lissu watake wasitake akishinda ataapishwa tu.
 
Mgombea wa tume baada ya kwenda garage sababu ya kuchezea spana za Lisu wamemlazimisha Lisu kwenda likizo ya lazima
 
Wanajipa moyo tu. Mtu ashinda anamsubiri siku nzima hana kazi?? Wanaccm bwana wamepaniki hadi akili zimewatoka. Wamepwaya.
 
Wamempa Lisu muda wa kupumzika na kujiandaa kummaliza Magufuli.

Labda wamfungie tena siku 14.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…