kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tunataka muendelezo wa kupoteza uendelee Yanga wapigwe hakuna uzalendo wala maneno ya kupeana moyo, hiyo misuli bila chupi watatafuta pa kuiweka.
Kwa sauti ya gwajima wapigweeeeeeeeeeeee Yanga masupu!
Kwa sauti ya gwajima wapigweeeeeeeeeeeee Yanga masupu!