Jumanne ingekuwa weekend!

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Hii siku hiii! Hata sijui imewekewa nini.

Yaani mambo hayaendi kabisa. Hii ndio siku ambayo naingiza pesa ndogo kuliko siku nyingine ndani ya wiki kwenye biashara yangu.

Sijajua kama hii ni kwa wote ila kwa watu wengi ninao associate nao naona wana experience vyema hali ya hii siku.

Nahisi hii siku ingekuwa ya mapumziko, kama ilivyo weekend.

Mwenye idea yeyote kuhusu hii siku na ugumu wake atupe elimu..


 
Wanasema ni siku mbaya kufanya mambo ya msingi maana huwa hayaendi vema

Ila ni imani tu wengine tunasepa nayo kama ilivyo
 
Hii siku hiii! Hata sijui imewekewa nini.

Yaani mambo hayaendi kabisa. Hii ndio siku ambayo naingiza pesa ndogo kuliko siku nyingine ndani ya wiki kwenye biashara yangu
Imani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…