The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Una kinyesi kichwan, mtu kaleta hoja nyingine wewe unajibu vingine. Mnawaza kutumia kamasi au?. Issue isiyohitaji uchama unaleta upuuzi, Taqo kabisa weww.Makongamano ya kudai katiba ya mbowe yameishia wapi?
Wasukuma ni watu wenye akili sana aisee......Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi.
Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila kutumia maarifa ni pamoja na kuwaleta polisi kulinda watahiniwa wa shule ya msingi au sekondari.
Suala lingine alizungumzia jinsi wataalam walivyozuia utengenezaji wa cement ya shs 5000 kwa hoja kwamba maghorofa yataanguka, akauliza kwani wananchi wa kawaida wanajenga maghorofa?
Prof MayeleCc,
Prof Manyele
wakina kisandu...Wasukuma ni watu wenye akili sana aisee......
Sana, Kisandu wa sasa ni tofauti nanyule wa 2010, fuatilia mabandiko yake. Moshi ulipozidi kichwani dishi likatumba mazimawakina kisandu...
Kwahiyo kusema sement kuuzwa elf 5 ni akili?, Kwahiyo linawezekana?Wasukuma ni watu wenye akili sana aisee......
Ubora wa elimu si mbaya, naunnga Mkono hoja. ubaya upo kkwa haw waliotahiniwa ni Ni vikaragosi vizur tu makazinAkichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi.
Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila kutumia maarifa ni pamoja na kuwaleta polisi kulinda watahiniwa wa shule ya msingi au sekondari.
Suala lingine alizungumzia jinsi wataalam walivyozuia utengenezaji wa cement ya shs 5000 kwa hoja kwamba maghorofa yataanguka, akauliza kwani wananchi wa kawaida wanajenga maghorofa?
Hata suala la ajira ya kudumu ni tatizo tuwe na ajira za mkataba renewable ... Hata Mimi mtumishi litanikuta...Kwa sasa tunafanya kazi Kwa mazoea.Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi.
Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila kutumia maarifa ni pamoja na kuwaleta polisi kulinda watahiniwa wa shule ya msingi au sekondari.
Suala lingine alizungumzia jinsi wataalam walivyozuia utengenezaji wa cement ya shs 5000 kwa hoja kwamba maghorofa yataanguka, akauliza kwani wananchi wa kawaida wanajenga maghorofa?
We jamaa unachekesha sanaana jopo la wataalam wanaompatia madini ya kutema hapo bungeni ili aonekane kipanga kumbe utajiri wa makafara & madamu
Kwani unajua kinachofanya cement iuzwe bei iliyopo?Kwahiyo kusema sement kuuzwa elf 5 ni akili?, Kwahiyo linawezekana?