Nimemsikiliza Jumanne Muliro
Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida yake.
Hawa akina Muliro, Simon Sirro, Camilius Wambura na akina Kingai ni mapolisi wa kujipendekeza pendekeza tu hawana weledi wowote
Ni hivyo hivyo huwa anapaniki Simon Sirro kila anapoulizwa nani alimpiga Tundu Lissu risasi, huwa anahamaki kwa sababu anafahamu mwenye amri ya kuwaondoa Polisi kwenye geti la makazi ya viongozi wa serikali ni yeye mwenyewe, he has blood in his hands
Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira
Muliro acha kupaniki, soma PGO