Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

Aliyesema mzee mwingila aitwe ni George Simba chawene ambaye NI mkristo mwenzie na mzee mwingila.
Muliro anaingia vipi hapo?
tuache Mambo ya udinii tusimamie haki
Watafeli wakina nani Jumane aache kuwasumbua vingozi wa dini
 
Jumanne Murilo asilete udini wake

Akome na akome kuwasumbua Maaskofu (wachungaji)
usiruhusu makalio yako yachukue nafasi ya ubongo wako! Jumanne amepewa tu order na mtu wa imani yako ambaye anaitwa George.
 
Nimemsikiliza Jumanne Muliro

Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida yake.

Hawa akina Muliro, Simon Sirro, Camilius Wambura na akina Kingai ni mapolisi wa kujipendekeza pendekeza tu hawana weledi wowote

Ni hivyo hivyo huwa anapaniki Simon Sirro kila anapoulizwa nani alimpiga Tundu Lissu risasi, huwa anahamaki kwa sababu anafahamu mwenye amri ya kuwaondoa Polisi kwenye geti la makazi ya viongozi wa serikali ni yeye mwenyewe, he has blood in his hands

Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira

Muliro acha kupaniki, soma PGO

"Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira"

Hayo maneno yako hapo ndio yanapima kiasi cha ujingawako.
 
Nimemsikiliza Jumanne Muliro

Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida yake.

Hawa akina Muliro, Simon Sirro, Camilius Wambura na akina Kingai ni mapolisi wa kujipendekeza pendekeza tu hawana weledi wowote

Ni hivyo hivyo huwa anapaniki Simon Sirro kila anapoulizwa nani alimpiga Tundu Lissu risasi, huwa anahamaki kwa sababu anafahamu mwenye amri ya kuwaondoa Polisi kwenye geti la makazi ya viongozi wa serikali ni yeye mwenyewe, he has blood in his hands

Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira

Muliro acha kupaniki, soma PGO
Kwa hiy kama mwngira amekosea basi na wewe bila kutumia akili yako unaenda tu huko kwa mwingira?
Kwaaana hiyo hutumii kivhwa chako ipasavyo bali kinatumika kama boya.

Ulivyoona raha mwingila kutamka vile basi acha wengine nao waone raha atakavyo arestiwa
Cha kufanya subili majibu.
 
Muliro ni mbabaishaji sana na hovyo, hajawah kusimamia haki
Hivi hamtaki Mwingira ahojiwe? Mjue kuwa atakaye muhoji siyo Muliro!
Ni askari wenye weledi wa kuhoji, na kati yao wanao PhD katika maswali ya kuhoji na kupeleleza.
Mwingira atajiingiza mtegoni mwenyewe. Kwa hiyo kudharau elimu ya Muliro hakumsaidii Mwingira!
 
Nimemsikiliza Jumanne Muliro

Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida yake.

Hawa akina Muliro, Simon Sirro, Camilius Wambura na akina Kingai ni mapolisi wa kujipendekeza pendekeza tu hawana weledi wowote

Ni hivyo hivyo huwa anapaniki Simon Sirro kila anapoulizwa nani alimpiga Tundu Lissu risasi, huwa anahamaki kwa sababu anafahamu mwenye amri ya kuwaondoa Polisi kwenye geti la makazi ya viongozi wa serikali ni yeye mwenyewe, he has blood in his hands

Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira

Muliro acha kupaniki, soma PGO
Hapa siyo mahali pake pa kuleta huu upupu,peleka huko ofisini kwake! Hapa tuna-deal na issues nzito nzito siyo mambo ya sijui Mwingira sijui Muliro! Unataka tujadili nini hapa wakati yeye keshatoa order Mwingira afike Central police! Siyo kila linalotokea uraiani ni la kurusha huku JF.
 
Nimemsikiliza Jumanne Muliro

Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida yake.

Hawa akina Muliro, Simon Sirro, Camilius Wambura na akina Kingai ni mapolisi wa kujipendekeza pendekeza tu hawana weledi wowote

Ni hivyo hivyo huwa anapaniki Simon Sirro kila anapoulizwa nani alimpiga Tundu Lissu risasi, huwa anahamaki kwa sababu anafahamu mwenye amri ya kuwaondoa Polisi kwenye geti la makazi ya viongozi wa serikali ni yeye mwenyewe, he has blood in his hands

Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira

Muliro acha kupaniki, soma PGO
Sasa wewe na Mulilo nani anaonekana amepanic maana wewe umeonyesha kuwa vyovyote iwavyo wewe ni mdini

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna suala la imani hapo aliyempa maagaizo ni Kondakta George Simbachawene wa imani yako
Ujinga wa udini mtaacha lini?
Kile chuo kinachogawa PhD hakijamwona huyu waziri na maigizo yake? Kingempa naye PhD
 
UCMJ. Uniform Code of Military Justice. Kuna kitu kinaitwa Uniform Code of Military Justice,Sheria zinazoongoza majeshi. Pale ndio utakuta mambo kama awol,desertion,misbehavior before the enemy,etc.
Kwa hiyo katika hali ambayo kuna manung'uniko mengi kuhusu tabia za askari,tuzifahamu hizi sheria za zskari.
Siyo hapa tu Tanzania. Hizi ni Sheria za majeshi yote. Utasikia ADF wamefanya hivi ,Wapiganaji wa Tigray wamefanya kile . Wanamgambo wa Islamic State wamefanya vituko. Hizi ndio Sheria za majeshi. Mtu yoyote akitaka kuanzisha jeshi lazima afuate sheria hizi.
Jana walikuwa wanasema Askofu Mwingira kaolewa. Indeed anaweza kuolewa kweli kama Sheria hazitaheshimiwa .
Lakini Kuna caveat. Usalama wa Taifa hawawajibiki kuzifuata hizi Sheria mpaka Sheria I-specify kwamba Sheria hii inawahusu pia TISS .
 
Jumanne Murilo asilete udini wake

Akome na akome kuwasumbua Maaskofu (wachungaji)
Mwingira siyo Askofu wala mchungaji. Anajiita nabii na mtume. hata sjui unabii na utume huo alipewa au kusimikwa na nani! Baada ya kuona amewanyoosha waumini wake malimbuko ya kutosha sasa anajipachika vyeo vya unabii na utume! Lakini sishangai kwani hata biblia imeandika juu ya manabii wajao!
 
Kile chuo kinachogawa PhD hakijamwona huyu waziri na maigizo yake? Kingempa naye PhD
Kitampa vipi PhD wakati wewe hata certificate ya kufagia ofisi na kutunza kumbukumbu za ofisi huna! Ni bora wangekufikiria wewe kwanza upate certificate hiyo!
 
Umeelewa kuhusu nilichoandika ama umelewa? Nisome vizuri basi ndugu wa LionChawene naona umekurupuka.
 
Nimemsikiliza Jumanne Muliro

Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida yake.

Hawa akina Muliro, Simon Sirro, Camilius Wambura na akina Kingai ni mapolisi wa kujipendekeza pendekeza tu hawana weledi wowote

Ni hivyo hivyo huwa anapaniki Simon Sirro kila anapoulizwa nani alimpiga Tundu Lissu risasi, huwa anahamaki kwa sababu anafahamu mwenye amri ya kuwaondoa Polisi kwenye geti la makazi ya viongozi wa serikali ni yeye mwenyewe, he has blood in his hands

Sasa Muliro ashughulike na hili swala kwa utulivu tu; afahamu kwamba iwe kweli ama si kweli sisi wa Imani isiyo sawa na ya kwake tupo pamoja na Nabii Mwingira

Muliro acha kupaniki, soma PGO
haya mengi yapoyapo tu.....hayanaga weledi...wala kutumia akili....na elimu ya kipolisi
 
Back
Top Bottom