wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
KaushaKipitia chama gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaushaKipitia chama gani?
Acha ujinga weweAcha tu mkuu wangu mchoma mkaa. Chuma isikie tu yani it is a taste of lid. Ikiingia mwilinini tu you have a room temperature challenge.
Yani hii manati ya mzungu ukibonyeza tu inatema na kukohoa vitu vyenye ncha kali/butu vinavyoruka hewani kwa kasi ya ajabu na ya hatarii.
Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa
Kazi iendelee!Karibu afande Jumanne Muliro katika mkoa wetu wa Dar es salaam.
Tunaelewa utumishi wako uliotukuka uliowezesha amani kutamalaki mkoani Mwanza. Ni imani yetu unatuletea amani katika mkoa wetu huu wa Mzizima.
Karibu sana.
-----
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi, ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi.
Katika mabadiliko hayo, Naibu Kamishna wa Polisi Lucas Mkondya amehamishwa kutoka kuwa Kaimu Kamishna wa Fedha na Logistiki Makao Makuu ya Polisi Dodoma kuwa Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Makao Mkuu ya Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Onesmo Lyanga amehamishwa kwenda kuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamanda Gilles Muroto ambaye anastaafu.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ramadhan Ngh’anzi amehamishwa kutoka kuwa Boharia Mkuu kwenda kuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Mwamini Rwantale akihamishwa kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam ambako alikuwa Mkuu wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha TAZARA.
IGP Sirro pia amemhamisha Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mwanza, Muliro Jumanne kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuchukuwa nafasi iliyoachwa na Kamishna wa Polisi Camillius Wambura.
Kamishna Msaidizi wa Polisi Zuberi Chembera, yeye amehamishwa kutoka Makao Makuu ya Upelelezi Dodoma kwenda Makao Makuu ya Polisi Zanzibar kuwa Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa jinai Zanzibar kuchukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Hamad Khamis Hamad.
Naye Kamishna Msaidizi wa Polisi Stella Richard amehamishwa kutoka kuwa Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida.
scandal gani mkuu mbona sijawahi sikia, Alikuwa mzee wa kubambikia watu kesi au mla rushwa?Kamanda Muroto aliondolewa DSM kwa aibu na kwa nia ya kuokoa kibarua chake.
Ashukuru aliondolewa maana ilikuwa almanusura vyombo vimtafune kwa skandali aliyoisuka akiwa Wazo OCD.
Sasa bawacha wanaweza kufanya maandamano kwenda kuwaburuta toka bungeni wale wabunge 19Kamanda Muroto kumbe amestaafu
Huyo mwaka mmoja atakuwa apeche alolo dhuluma mbaya sanaKamanda Muroto kumbe amestaafu
Vyote viwili, ambalo hakujua ni kwamba alikuwa kwenye radar!scandal gani mkuu mbona sijawahi sikia, Alikuwa mzee wa kubambikia watu kesi au mla rushwa?
Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Comedian...Kamanda Muroto kumbe amestaafu
Huyu ni SACPSema afande Sirro sijamwelewa kwa kumpa u"ZPC" mtu mwenye rank ya ACP
Huyu ni SACP
Naambiwa hapa, kipindi anaandaa dawa ya waporaji simu na mikoba ya wazungu kule cocobeach na masaki yote kwa ujumla, akapata uhamisho kuelekea mwanza.
Nadhani sasa anarudi mkoa ambao anaujua vyema sana, hasa baada ya kufanya kazi kinondoni miaka 2.
Muliro ni mjita? Shanna alikuwa mjita pia.Tafsiri ya neno Muliro kama ni mjita maana yake ni moto ukichanganya na ile sura yake basi wale wanaohalifu amri ya Usiibe watapata kweli mshahara wa dhambi ambao ni mauti.
Kwenye kumuaga Afande Shana alilia sana inaonekana walikuwa marafiki sana
Hongera kwa Kamanda Muliro, tumtakie utumishi mwema.Kaz kaz huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Majambaz wezi wakae mkao wa kuliwa
Ova
Huyo mzee ni mjinga sn ikiwezekana apate hata ajaliNdugu mstaafu akampige kipigo cha mbwa koko mkurugenzi wa PSSSF maana hela haitoki huko, hata kwa dawa