Jumanne Muliro ahamishiwa Kanda Maalum Dar. Kamanda Gilles Muroto astaafu

Acha ujinga wewe
 
Kazi iendelee!
 
Sema afande Sirro sijamwelewa kwa kumpa u"ZPC" mtu mwenye rank ya ACP
 
Naambiwa hapa, kipindi anaandaa dawa ya waporaji simu na mikoba ya wazungu kule cocobeach na masaki yote kwa ujumla, akapata uhamisho kuelekea mwanza.

Nadhani sasa anarudi mkoa ambao anaujua vyema sana, hasa baada ya kufanya kazi kinondoni miaka 2.
 
Kwani Mwanza tuna kosa gani[emoji38][emoji38]
 
Naambiwa hapa, kipindi anaandaa dawa ya waporaji simu na mikoba ya wazungu kule cocobeach na masaki yote kwa ujumla, akapata uhamisho kuelekea mwanza.

Nadhani sasa anarudi mkoa ambao anaujua vyema sana, hasa baada ya kufanya kazi kinondoni miaka 2.

Muliro huwa anaonekana tu alivyo serious na kazi
 
Tafsiri ya neno Muliro kama ni mjita maana yake ni moto ukichanganya na ile sura yake basi wale wanaohalifu amri ya Usiibe watapata kweli mshahara wa dhambi ambao ni mauti.

Kwenye kumuaga Afande Shana alilia sana inaonekana walikuwa marafiki sana
 
Karibu Kamanda Muliro Dar ndio kipimo chako cha mwisho kabla kufikiriwa IGP kazi kwako sasa.......
 
Tafsiri ya neno Muliro kama ni mjita maana yake ni moto ukichanganya na ile sura yake basi wale wanaohalifu amri ya Usiibe watapata kweli mshahara wa dhambi ambao ni mauti.

Kwenye kumuaga Afande Shana alilia sana inaonekana walikuwa marafiki sana
Muliro ni mjita? Shanna alikuwa mjita pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…