The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
😂 dahKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza na kituo cha habari cha BBC Jumatatu, Aprili 28, 2025, Muliro amesema Jiji la Dar es Salaam limepiga hatua kubwa katika kudhibiti uhalifu ikilinganishwa na miaka iliyopita ambapo matukio mengi ya kihalifu yalikuwa yakiripotiwa.
"Kama unaishi Dar es Salaam, tangu kabla ya Pasaka, wakati wa Pasaka na baada ya Pasaka, hali ya ulinzi imeimarishwa sana. Sidhani kama kuimarisha masuala ya usalama mitaani ni suala baya," amesema Muliro na kuongeza kuwa askari wameongezwa kwenye maeneo yenye viashiria vya hatari ili kulinda maisha na mali za wananchi.
Alipoulizwa kuhusu madai ya polisi kuzingira nyumba za viongozi wa CHADEMA, akiwamo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche na Mwenyekiti wa Taifa Tundu Lissu, Muliro amekanusha madai hayo.
"Sisi tunaimarisha ulinzi kwa watu wote bila ubaguzi. Sehemu kubwa ya wananchi wa Dar es Salaam wanapongeza jitihada hizi. Watu wa Kitunda, Mwanagati na Msongola wanafurahia uwepo wa polisi. Kama hali ingekuwa mbaya, viongozi wa CHADEMA wasingefanya mikutano zaidi ya 20 ndani ya wiki mbili hadi tatu zilizopita," amesema.
Muliro amesisitiza kuwa watu wanaotoka maeneo ya nje ya jiji wanaweza kushangazwa na hali ya ulinzi, lakini wenyeji wanatambua mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na uhalifu, akibainisha kuwa usalama umepewa kipaumbele kikubwa na Jeshi la
kwa sensor ipi? Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajbu wewe mwenyeweKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza na kituo cha habari cha BBC Jumatatu, Aprili 28, 2025, Muliro amesema Jiji la Dar es Salaam limepiga hatua kubwa katika kudhibiti uhalifu ikilinganishwa na miaka iliyopita ambapo matukio mengi ya kihalifu yalikuwa yakiripotiwa.
"Kama unaishi Dar es Salaam, tangu kabla ya Pasaka, wakati wa Pasaka na baada ya Pasaka, hali ya ulinzi imeimarishwa sana. Sidhani kama kuimarisha masuala ya usalama mitaani ni suala baya," amesema Muliro na kuongeza kuwa askari wameongezwa kwenye maeneo yenye viashiria vya hatari ili kulinda maisha na mali za wananchi.
Alipoulizwa kuhusu madai ya polisi kuzingira nyumba za viongozi wa CHADEMA, akiwamo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche na Mwenyekiti wa Taifa Tundu Lissu, Muliro amekanusha madai hayo.
"Sisi tunaimarisha ulinzi kwa watu wote bila ubaguzi. Sehemu kubwa ya wananchi wa Dar es Salaam wanapongeza jitihada hizi. Watu wa Kitunda, Mwanagati na Msongola wanafurahia uwepo wa polisi. Kama hali ingekuwa mbaya, viongozi wa CHADEMA wasingefanya mikutano zaidi ya 20 ndani ya wiki mbili hadi tatu zilizopita," amesema.
Muliro amesisitiza kuwa watu wanaotoka maeneo ya nje ya jiji wanaweza kushangazwa na hali ya ulinzi, lakini wenyeji wanatambua mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na uhalifu, akibainisha kuwa usalama umepewa kipaumbele kikubwa na Jeshi la Polisi.
Yatapita na watakuja wengine, badala yake!Swali kuu litakuwa,umeacha Alama Gani ya kukumbukwa,zuri au baya?! Maisha ni safari,Ishi upendavyo!Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza na kituo cha habari cha BBC Jumatatu, Aprili 28, 2025, Muliro amesema Jiji la Dar es Salaam limepiga hatua kubwa katika kudhibiti uhalifu ikilinganishwa na miaka iliyopita ambapo matukio mengi ya kihalifu yalikuwa yakiripotiwa.
"Kama unaishi Dar es Salaam, tangu kabla ya Pasaka, wakati wa Pasaka na baada ya Pasaka, hali ya ulinzi imeimarishwa sana. Sidhani kama kuimarisha masuala ya usalama mitaani ni suala baya," amesema Muliro na kuongeza kuwa askari wameongezwa kwenye maeneo yenye viashiria vya hatari ili kulinda maisha na mali za wananchi.
Alipoulizwa kuhusu madai ya polisi kuzingira nyumba za viongozi wa CHADEMA, akiwamo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche na Mwenyekiti wa Taifa Tundu Lissu, Muliro amekanusha madai hayo.
"Sisi tunaimarisha ulinzi kwa watu wote bila ubaguzi. Sehemu kubwa ya wananchi wa Dar es Salaam wanapongeza jitihada hizi. Watu wa Kitunda, Mwanagati na Msongola wanafurahia uwepo wa polisi. Kama hali ingekuwa mbaya, viongozi wa CHADEMA wasingefanya mikutano zaidi ya 20 ndani ya wiki mbili hadi tatu zilizopita," amesema.
Muliro amesisitiza kuwa watu wanaotoka maeneo ya nje ya jiji wanaweza kushangazwa na hali ya ulinzi, lakini wenyeji wanatambua mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na uhalifu, akibainisha kuwa usalama umepewa kipaumbele kikubwa na Jeshi la Polisi.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza na kituo cha habari cha BBC Jumatatu, Aprili 28, 2025, Muliro amesema Jiji la Dar es Salaam limepiga hatua kubwa katika kudhibiti uhalifu ikilinganishwa na miaka iliyopita ambapo matukio mengi ya kihalifu yalikuwa yakiripotiwa.
"Kama unaishi Dar es Salaam, tangu kabla ya Pasaka, wakati wa Pasaka na baada ya Pasaka, hali ya ulinzi imeimarishwa sana. Sidhani kama kuimarisha masuala ya usalama mitaani ni suala baya," amesema Muliro na kuongeza kuwa askari wameongezwa kwenye maeneo yenye viashiria vya hatari ili kulinda maisha na mali za wananchi.
Alipoulizwa kuhusu madai ya polisi kuzingira nyumba za viongozi wa CHADEMA, akiwamo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche na Mwenyekiti wa Taifa Tundu Lissu, Muliro amekanusha madai hayo.
"Sisi tunaimarisha ulinzi kwa watu wote bila ubaguzi. Sehemu kubwa ya wananchi wa Dar es Salaam wanapongeza jitihada hizi. Watu wa Kitunda, Mwanagati na Msongola wanafurahia uwepo wa polisi. Kama hali ingekuwa mbaya, viongozi wa CHADEMA wasingefanya mikutano zaidi ya 20 ndani ya wiki mbili hadi tatu zilizopita," amesema.
Muliro amesisitiza kuwa watu wanaotoka maeneo ya nje ya jiji wanaweza kushangazwa na hali ya ulinzi, lakini wenyeji wanatambua mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na uhalifu, akibainisha kuwa usalama umepewa kipaumbele kikubwa na Jeshi la Polisi.
Hakika,kila mtu atauchukua,mzigo wake mwenyewe mbele za Mungu,kila mtu atatoa Hesabu zake mwenyewe, mbele za Mungu!kwa sensor ipi? Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajbu wewe mwenyewe
duh umbwa huyu sijui anakufa lini maaneeneeer , ndiomaana wanatakaga failures tu kwani wanakuwa wanaongea utumbo tu bila kufikiriaKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza na kituo cha habari cha BBC Jumatatu, Aprili 28, 2025, Muliro amesema Jiji la Dar es Salaam limepiga hatua kubwa katika kudhibiti uhalifu ikilinganishwa na miaka iliyopita ambapo matukio mengi ya kihalifu yalikuwa yakiripotiwa.
"Kama unaishi Dar es Salaam, tangu kabla ya Pasaka, wakati wa Pasaka na baada ya Pasaka, hali ya ulinzi imeimarishwa sana. Sidhani kama kuimarisha masuala ya usalama mitaani ni suala baya," amesema Muliro na kuongeza kuwa askari wameongezwa kwenye maeneo yenye viashiria vya hatari ili kulinda maisha na mali za wananchi.
Alipoulizwa kuhusu madai ya polisi kuzingira nyumba za viongozi wa CHADEMA, akiwamo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche na Mwenyekiti wa Taifa Tundu Lissu, Muliro amekanusha madai hayo.
"Sisi tunaimarisha ulinzi kwa watu wote bila ubaguzi. Sehemu kubwa ya wananchi wa Dar es Salaam wanapongeza jitihada hizi. Watu wa Kitunda, Mwanagati na Msongola wanafurahia uwepo wa polisi. Kama hali ingekuwa mbaya, viongozi wa CHADEMA wasingefanya mikutano zaidi ya 20 ndani ya wiki mbili hadi tatu zilizopita," amesema.
Muliro amesisitiza kuwa watu wanaotoka maeneo ya nje ya jiji wanaweza kushangazwa na hali ya ulinzi, lakini wenyeji wanatambua mafanikio yaliyopatikana katika kupambana na uhalifu, akibainisha kuwa usalama umepewa kipaumbele kikubwa na Jeshi la Polisi.
Wanatia huruma wakistaafu!Huwezi Amini kabisa!duh umbwa huyu sijui anakufa lini maaneeneeer , ndiomaana wanatakaga failures tu kwani wanakuwa wanaongea utumbo tu bila kufikiria
Umewaza Nini kuhusu Amani,ilitoweka lini hiyo Amani?!!Tulia,fikiria, Nyamaza Kimya!Nawapongeza kwa kazi nzuri ya kusimamia amani ya nchi
Ilitaka kutoweka Lissu aliposema kinuke ila wao wamesimamia amani hadi sasa unabonyeza bonyeza vitufe kwenye keyboard ya simu yakoUmewaza Nini kuhusu Amani,ilitoweka lini hiyo Amani?!!Tulia,fikiria, Nyamaza Kimya!
Hapo Ndio utajua mtu anavyofikiria!,Lissu hana jeshi,hana mambo!Kusema kinuke,ndio Amani unapotea! Duuh hii akili mfuniko!Ilitaka kutoweka Lissu aliposema kinuke ila wao wamesimamia amani hadi sasa unabonyeza bonyeza vitufe kwenye keyboard ya simu yako
We nani kakwambia kuleta machafuko hadi uwe na jeshi? Ndo akili yako imeishia hapo?Hapo Ndio utajua mtu anavyofikiria!,Lissu hana jeshi,hana mambo!Kusema kinuke,ndio Amani unapotea! Duuh hii akili mfuniko!
Bora kunyamaza, maana Haina Afya!J4 anazingua sana, bora awe kimya tyuuh.

Bora kunyamaza!We nani kakwambia kuleta machafuko hadi uwe na jeshi? Ndo akili yako imeishia hapo?
HaswaaBora kunyamaza, maana Haina Afya!