Jumanne tukutane halmashauri wilaya ya Bunda walimu wapya

Jumanne tukutane halmashauri wilaya ya Bunda walimu wapya

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
hii wilaya naona viongozi wengi ni makanjanja,tukutane saa tatu tuchukue hela&nauli zetu maana bila pressure wanasinzia sana.
 
Du poleni sana vihela vyenye vidogo hivyo afu wanawabania ka vipi mlale hapohapo halmashauri hadi kieleweke!
 
Back
Top Bottom