Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu siamini kama uchaguzi utakuwa huru, haki na wazi. Niliamua kuusikiliza ule wimbo kwa makini na sikusikia neno 'haki'.
Hivyo huo wimbo pia nimekwishauweka kapuni mpaka utakapowekewa neno 'haki'.
http://www.esrftz.org/docs/ANTHEM_TANZANIA NATIONAL.pdf
Hivyo huo wimbo pia nimekwishauweka kapuni mpaka utakapowekewa neno 'haki'.
http://www.esrftz.org/docs/ANTHEM_TANZANIA NATIONAL.pdf