Jumapili Desemba 7 Mapadri na Askofu wa Kikatoliki ni muhimu wazungumzie Amani kuliko Haki

Brother wewe ni mnufaika mkubwa Wa zile afu saba saba kutoka Lumumba street siku hizi unatandika sana reli ndefu ndefu mwanawane😀😀

Nilikuwepo kwenye maandamano najua kile naandika.
Kama lengo NI kuondoa serikali nguvu hiyo bado haipo. Ni ndogo. So kuna mambo huwezi kubet. Hasa yanayogusa uhai wa watu.

Maandamano ni haki ya kikatiba lakini maandamano ya kuiangusha serikali hayapo kisheria. Inakuwa vita mkuu. Sasa kwenye vita mwenye nguvu zaidi ndiye anashinda. Kingine vita haina macho
 
WEWE NI MPUMBAVU
 
😀sawa kaka
 
Hata North Korea Kuna amani tele, je Kuna haki?

Inategemea na culture mkuu
Kuna nchi zingine demokrasia sio utamaduni na wanaishi vizuri.

Kuna Haki za Asili Ambazo ni dunia nzima.
Kuna haki zinazotokana na utamaduni husika.
Kuna haki zinazotokana na Wakati
 
Kutangazwa amani bila khaki ni sawasawa na mwanamke kutamani kupachikwa mimba pasipo kuingiliwa kwa pupa.

Maandamano yako palepale 😎.
 
Je alipopola uchaguzi aliomba ushauri
 
je madhabu ni sehemu ya kufanya siasa
Ndiyo,
Kuna watu walikuwa manabii (viongozi wa kiroho) wakati huo huo wakiwa wafalme (viongozi wakuu wa nchi/siasa)
Mfano: Nabii Musa, Nabii Joshua, Nabii Samwel, Nabii Daudi, Nabii Suleman, nk
 

Hapana usiwasingizie.
Eleza tuu ukweli kuwa Askofu wapo Upande wa HAKI. Huku wengine wapo Upande wa AMANI.

Kuhubiri au kuwa upande wa HAKI sio kupandikiza chuki kama wale walioupande wa AMANI au wanaohubiri Amani.

Ingawaje HAKI ndio msingi wa AMANI.

Muhimu chakuzingatia kwa busara kipi ni muhimu kwa SASA katika kuweka mambo sawa hata kama sio asilimia Mia moja.

Binafsi mimi ni mfuasi wa HAKI lakini ukweli, akili na upendo vipo
 
Hiyo amani ya kinafiki wameshahubiri sana, lakini ndio watu wakaonekana mafala. RC imebidi wachore mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…