Jumapili Desemba 7 Mapadri na Askofu wa Kikatoliki ni muhimu wazungumzie Amani kuliko Haki

Hiyo amani ya kinafiki wameshahubiri sana, lakini ndio watu wakaonekana mafala. RC imebidi wachore mstari.

Sawa tufanye tuingie mlango wa HAKI je kuna uwezekano kwa wakati huu?

Nguvu ipo ya kutosha? Stamina ipo?

Unajua kwa nini embe au tunda ukilichuma likiwa changa linawasha, chungu au linaukakasi lakini tunda hilohilo ukilila likiwa limeiva linakuwa tamu?
Unaruhusiwa kunijibu kivyovyote
 
Huna tofauti na wale mashehe ubwabwa, acha kujidharirisha
 
Bw Reginald tweet yake ya mwisho kabla hajafa aliandika "Wenye nacho wanaishi kwa AMANI kwa ridhaa ya wasio nacho"later on nikasoma kitabu chake,Kumbe aliji quote mwenyewe..

Nikajifunza kitu, viongozi wetu mara zote wanahubiri AMANI AMANI AMANI sababu kwao amani jambo muhimu kuliko vyote,why?? simply because kama hakutakua na AMANI wao Bata watakula wapi?Magari Yao ya kifahari wata drive wapi?Pilau likiwa na mafuta ya taa haliliki..

You see now viongozi wanakosa amani?press Kila siku,maelezo Kila uchwao,,Wanazungumza kuhusu amani wakiongelea Petrol stations zilizochomwa na Magari,means hivyo ndio vitu vinawapa AMANI but sio haki zetu za kuishi wala uhuru wa kutoa maoni,..

Kwa asie nacho Amani kwake watu wasitekwe,wasibakwe wala kuuliwa or kupewa kesi za kisolo na kuwe na democracy..

Kwa nyie wenzetu Amani kwenu ni kuwaacha mle nchi bila bugudha kama Mali ya ukoo,mbake watu,muue,msiwajibike kwa lolote,

Now Nini maana ya AMANI kwenu??
 
KUNA AINA MBILI TU ZA MAANITHI NAZO NI

1)MAANITHI WA MWILI (MASHOGA,MACHOKO NK) na

2)MAANITHI WA AKILI

mleta uzi una tatizo la UANITHI WA AKILI
 
Kwa bahati nzuri Ma-Askofu wa Katoliki wamegoma kushiriki hiyo dhambi ya kwenda kuhadaa Watanzania kwa kogezo cha Amani
 
Pole mpe mama yako na baba yako kuzaa useless education ya kuweza kuandika vizuri kama mzee wa waziri wa vijana wakati sio tajiri kuliko bakheresa

Unataka matusi tena? Leo sijisikii kutukanana mkuu. Leo Siku Yangu ilienda vizuri Sana. Kwa kweli nashukuru.

Kama unataka matusi nijaribu kwa Kesho huenda nikawa kwenye mood. Si unajua umri wangu hauniruhusu kuwa na busara?
 
Bangi
 
KUNA AINA MBILI TU ZA MAANITHI NAZO NI

1)MAANITHI WA MWILI (MASHOGA,MACHOKO NK) na

2)MAANITHI WA AKILI

mleta uzi una tatizo la UANITHI WA AKILI

Akija mtu akisema kuna aina nne ya mahanithi utasemaje? Alafu kwenye Aina hizo nne ukawepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…