Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kule hawachezi mpiraHata North Korea Kuna amani tele, je Kuna haki?
😆😆Hii nchi ina vituko sana leo Robert wa Makanya anafanya ujuaji wa kuwaelekeza mapadre/maaaskofu cha kuongea, waelekeze wasabato kufundisha haki & amani sio kukataza watu kula kitimoto na kambale tu.
Huna lolote tumekushtukia, wewe ni Muislamu!!Hao wanafiki na kanisa nime hama uwezi base upande mmoja
Hii nchi ina vituko sana leo Robert wa Makanya anafanya ujuaji wa kuwaelekeza mapadre/maaaskofu cha kuongea, waelekeze wasabato kufundisha haki & amani sio kukataza watu kula kitimoto na kambale tu.
Usikute ile 🆔 ya Lucas anamiliki huyu bwana mdogo.Brother wewe ni mnufaika mkubwa Wa zile afu saba saba kutoka Lumumba street siku hizi unatandika sana reli ndefu ndefu mwanawane😀😀
Wachawi wanakupakata
Ningekua na muda ningeandika parefu, sema ngoja nimuangalie msigwa anaongea ujinga wake star tv.🤣🤣🤣🤓
Umenikumbusha Makanya Kwetu. Uliwahi kuishi hapo?
Wasabato wiki hizi nne huko kanisani nilikuwa nasumbuana nao kwenye lesoni kuhusu Jambo hilo wamekataa kujihusisha na mambo hayo.
Kuhusu kuwaeleza mapadre Nina haki hiyo ilimradi sivunji Sheria yoyote.
Haki niliyoitumia ndio hiyohiyo waliitumia waliitumia wao kuikosoa, kuishauri serikali
Nasema hivi, enough is enough. Haijalishi itakuwa ni kugoma kutawaliwa kwa shuruti kwa muda gani, lakini hakuna uwezekano wa watu kuendelea kuhubiri amani ili kugeuzwa mafala.Sawa tufanye tuingie mlango wa HAKI je kuna uwezekano kwa wakati huu?
Nguvu ipo ya kutosha? Stamina ipo?
Unajua kwa nini embe au tunda ukilichuma likiwa changa linawasha, chungu au linaukakasi lakini tunda hilohilo ukilila likiwa limeiva linakuwa tamu?
Unaruhusiwa kunijibu kivyovyote
Ningekua na muda ningeandika parefu, sema ngoja nimuangalie msigwa anaongea ujinga wake star tv.
Hama kanisa maana linataka haki. Anayebaka mtoto anashitakiwa mahakamani, awe padri ama raia wa kawaida. Ukiona mtoto wa padri mpelekee ili awajibishwe na kanisa ama aibike. Una lingine kwa msaada zaidi?Sisi waumini wao njee tuna watetea sana pindi wanapo haribu kazi wanabaka watoto hao sisi tuna watetea ila wao hawataki kutupa sisi aman hao hawana cha kupoteza hawana watoto na kama wanao hawatambuliki kama wanao
Nasema hivi, enough is enough. Haijalishi itakuwa ni kugoma kutawaliwa kwa shuruti kwa muda gani, lakini hakuna uwezekano wa watu kuendelea kuhubiri amani ili kugeuzwa mafala.
Pole sanaHawana busara wange kuwa na busara ata wake zetu wasinge kuwa wana wala
Huyo dogo Mwachiluwi hajui anacho ongea.Huwezi kubalance haki. Tena bora umehama maana RC na uovu ni tofauti.
Nilikuwepo, na nitaendelea kuwepo. Kuanguka kwa serekali ni jambo jingine, lakini lazima tutekeleze malengo yetu. Hata kama sio leo, haya yatakuwa mapambano ya kudumu. Na waombe silaha za moto zisitue mikononi mwetu, tutaimba nyimbo zisipondeza wote.Ile Siku ya maandamano ulikuwepo?
Unaamini maandamano yataiangusha serikali?
Labda kwenye aina 4 za magenius ndiyo niwemo siyo MAANITHI...aina za MAANITHI nimesha kuambia ni mbili tu hakuna ya 3 wa 4 hii ni kanuni siyo utashi.Akija mtu akisema kuna aina nne ya mahanithi utasemaje? Alafu kwenye Aina hizo nne ukawepo
Rupoti kituo cha policeNilikuwepo kwenye maandamano najua kile naandika.
Kama lengo NI kuondoa serikali nguvu hiyo bado haipo. Ni ndogo. So kuna mambo huwezi kubet. Hasa yanayogusa uhai wa watu.
Maandamano ni haki ya kikatiba lakini maandamano ya kuiangusha serikali hayapo kisheria. Inakuwa vita mkuu. Sasa kwenye vita mwenye nguvu zaidi ndiye anashinda. Kingine vita haina macho