Jumapili Desemba 7 Mapadri na Askofu wa Kikatoliki ni muhimu wazungumzie Amani kuliko Haki

Sijawahi kumtetea na wala simfagilii Samuya
Lakini naona wagalatia wamegeuza hizi harakati kuwa crusade, kila naeongea kavaa msalaba mkubwa au kasimama mbele ya msalaba
sasa hapo ndio nasema kama kunyofoa fuvu nitakuwa mstari wa mbele, na vita ije tu, sisi hatujawahi kuwa waoga tokea mafundisho ya utotoni, na hatuogopi vita
 
Huwezi kuwa na Amani bila kuwepo Kwa Haki. Hivyo misingi WA kujenga Nyumba yenye Amani ni uwepo wa Haki
 
Kwahaya ya Serikali ifanye niseme tu Haitafanya maana yenyewe ndio imewatuma wale wanaojiita wanazuoni kuja kuzungumza ule upuuzi kwamba wanawatisha watu.
 
Hujui hata unachokisema, watu wapo kuitafuta haki ya kweli unataka wafuate maelekezo ya kupangiwa? Ili iweje
 
Mwizi anakuibia Mali zako, halafu anakimbilia Kwa mwamposa na msikitini, halafu mtu mwingine anasema katoliki watoe tamko ili mwizi apate nafuu humo ndani Kwa mwaposa au misikitini… Kwa akili ya kawaida hilo Jambo la matamko ni gumu, kitaumana tu mpaka ateme bungo…
Tension iliyopo Kwa sasa nchini ni Kama hiyo iliyosababishwa na mwizi kulazimisha kukaa na Mali ya wizi halafu analazisha kulidhiana na mwenye Mali. Ni ngumu sana mwenye Mali kukubari muafaka na mwizi wa Mali yake.
 
Hakuna amani bila haki.
 
Mimi ni imani yangu kuwa kuongelea Haki zaidi na kuacha kiburi ndiyo ungekuwa ukombozi wa kweli kwa taifa hili,amani waimbe wenye viburi na hadaa kwa maslahi ya tumbo zao mali zao na familia zao.
 
Mimi ni imani yangu kuwa kuongelea Haki zaidi na kuacha kiburi ndiyo ungekuwa ukombozi wa kweli kwa taifa hili,amani waimbe wenye viburi na hadaa kwa maslahi ya tumbo zao mali zao na familia zao.

Upo Sawa kabisa. Lakini wakati huu wenye hasira na chuki iliyojuu haki inaweza isiwe suluhu kwani maamuzi yoyote yatafanyika kwa hasira.
Nafikiri uliona kilichotokea MO29 hasira na chuki bila udhibiti ni maafa
 
Unamaanisha utulivu wewe na siyo amani. Amani na haki havitenganishwi.
 
 
Kinyonga - hana rangi

Mwiba mchicha - unaliwa ila haramu

Vuguvugu- si moto - si baridi

Kigeugeu - anakwenda mbele na nyuma.

Baunsa - Mtemi hadharani ni ***** faraghani
 
Dakitari anataka waongee wao hawataki bhana Sasa masasi zotanata kumwili
 
Hujui hata unachokisema, watu wapo kuitafuta haki ya kweli unataka wafuate maelekezo ya kupangiwa? Ili iweje
Mwenye Shibe hamjui Mwenye Njaa Ndugu.

Hawa Watu wanaoonekana kuitetea Serikali ya Sasa hasa walioko kwenye mfumo wa Serikali (wengi Walioko kwenye Payroll) wamepumbazwa na Mishahara na posho wanazopokea Kila mwezi, hivyo Mabadiliko yoyote kwao hayawahusu na wanatafsiri mabadiliko kama kupoteza wanachokipata hivyo Wataonekana huku mtandaoni mithili ya Watetezi wa mfumo mbovu wa Serikali mfano halisi ni huyo Jamaa. Wanafikiri kwakuwa wanafaidika na mfumo huu Mbovu hivyo vizazi vyao vitafaidika kama wao.

Hawa ndo wale ambayo wakifanikiwa kufikia Nafasi za juu katika vitengo mbalimbali wanajifanya wanataka AMANI badala ya HAKI. AMANI kwao inamaana Watu wawe Mafala na Malofa, Yafanyike mambo ya kipumbavu ( Mauaji, Utekaji, Ulawiti, Uwizi wa Rasilimali, Uonevu n.k) alafu yakubalike na kunyamaziwa kitu ambacho ni Uduanzi/Ufala.

Hawa ndo wale wanaokuja ku-compromise taratibu mbalimbali zenye manufaa kwa Jamii nzima kwa manufaa yao wenyewe, WABINAFSI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…