Jumapili hii imepoa sana bora nikajinywee dabo kick zangu nitulie

Kitoko kilinishindaa tokea UG maana ndo nimevijulia kulee. Vinakuwa kama vitamu hivii.

Nitaijaribu na hiyo.
Juzi nilikunywa gongo ile ya kupika mtoni ilikuwa poa sana..
 
Sijui wanawekaga Nini!ukitupia kimoja unachangamka kikianza kukata unapiga kingine
Alafu ukute haujala umekula wali maarage
Kesho ukiamka ukishika kijiko Cha supu mkono unatetemeka full kutaapika wenge la hatari
Hata job huendi unalala tu uku ukiapa upigi tena

Ikipita wiki unarudia tena
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo najiapizaa hapa kuwa saizi nimekoma. Maana wengee balaa ni jasho kila,dakika.
 
🤪🤪🤪 labda unakuwa umekunywa mtetemesho mkuu..maana si kwa kutetemeka huko😝😝
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo najiapizaa hapa kuwa saizi nimekoma. Maana wengee balaa ni jasho kila,dakika.

😀😀😀pole mkuu
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957] labda unakuwa umekunywa mtetemesho mkuu..maana si kwa kutetemeka huko[emoji13][emoji13]
Inatokea hasa pale kama hujala na maji yame pungua mwilinii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…