Jumapili hii imepoa sana bora nikajinywee dabo kick zangu nitulie

Kitoko kilinishindaa tokea UG maana ndo nimevijulia kulee. Vinakuwa kama vitamu hivii.

Nitaijaribu na hiyo.
Juzi nilikunywa gongo ile ya kupika mtoni ilikuwa poa sana..
 
Hahahahahahahahaaahahahahha aisee nihataa sana. Vina weza kukuaibishaa mimi juzii jamaa nilikuwa sehemuu nikaona wadau wana gongaa nax a.k.a banana na mimi nikaliunga kwa siku mbiliii leoo ndo najiona afadhaliiii.

Unaweza kuwa chizii usipo angalia. Inabidi mtu una pumzikaa hata mwezii au miezii kidogo.
Sijui wanawekaga Nini!ukitupia kimoja unachangamka kikianza kukata unapiga kingine
Alafu ukute haujala umekula wali maarage
Kesho ukiamka ukishika kijiko Cha supu mkono unatetemeka full kutaapika wenge la hatari
Hata job huendi unalala tu uku ukiapa upigi tena

Ikipita wiki unarudia tena
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo najiapizaa hapa kuwa saizi nimekoma. Maana wengee balaa ni jasho kila,dakika.
 
🤪🤪🤪 labda unakuwa umekunywa mtetemesho mkuu..maana si kwa kutetemeka huko😝😝
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo najiapizaa hapa kuwa saizi nimekoma. Maana wengee balaa ni jasho kila,dakika.

😀😀😀pole mkuu
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957] labda unakuwa umekunywa mtetemesho mkuu..maana si kwa kutetemeka huko[emoji13][emoji13]
Inatokea hasa pale kama hujala na maji yame pungua mwilinii
 
Back
Top Bottom