JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!"
Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida – ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi aliotujalia.
Jumapili hii (Tarehe 13 Aprili, 2025)
Mahali: Kanisa la EFATHA, Ubungo – Dar es Salaam
Muda: Kuanzia saa 3:00 asubuhi
Tunajumuika kwa ibada ya shukrani kwa Nabii Mwamposa, tukimshukuru Mungu kwa ushindi wa timu yetu na kuombea mafanikio zaidi mbele yetu.
Tuvae jezi zetu za Simba ikitupendeza, twende na sadaka ya shukrani Kwa Mungu.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Maana ushindi wetu ni ushuhuda wa neema ya Mungu juu ya Simba SC!
1Samweli 9:6 ".........katika mji huu mna mtu wa Mungu, naye ni mtu mwenye kuheshimiwa; yote asemayo hutukia kweli kweli; basi, twende huko; labda yeye aweza kutuambia habari ya safari yetu tunayoiendea."
#SimbaSC #SimbaKwaMwamposa #ShukraniKwaMungu #TeamYaUshindi #TimuYaMungu