Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Mi sijui ndoa mkuu, I'm a senior bachelor, naishi na watoto wangu (Kila mmoja na mama yake) na dada wa kazi, niligundua ndoa inapunguza siku za kuishi, nikauepuka mtego huo.Mlioa mna majanga sana, kwa hiyo mke wako akicheat ndo vitu hua wanafayanya? Dadeq na moyo mdogo takufa na pressure
#kataandoa