Mi sijui ndoa mkuu, I'm a senior bachelor, naishi na watoto wangu (Kila mmoja na mama yake) na dada wa kazi, niligundua ndoa inapunguza siku za kuishi, nikauepuka mtego huo.Mlioa mna majanga sana, kwa hiyo mke wako akicheat ndo vitu hua wanafayanya? Dadeq na moyo mdogo takufa na pressure
#kataandoa
Unakula bata bado ila utaoa tu upate wakuzikanaMi sijui ndoa mkuu, I'm senior bachelor, naishi na watoto wangu (Kila mmoja na mama yake) na dada wa kazi, niligundua ndoa inapunguza siku za kuishi, nikauepuka mtego huo.
Kwa ushauri wa mtoa mada unaenda kurudiana na ma-ex(mama watoto) wangapi?Mi sijui ndoa mkuu, I'm senior bachelor, naishi na watoto wangu (Kila mmoja na mama yake) na dada wa kazi, niligundua ndoa inapunguza siku za kuishi, nikauepuka mtego huo.
Wawili tu mkuu, watatu huyu mama yake yupo anga za mbali aligoma kumtoa, and it's okay as long as ni matakwa yake na anamuhudumia kila kitu.Kwa ushauri wa mtoa mada unaenda kurudiana na ma-ex(mama watoto) wangapi?