Jumapili ya supu jangwani

Nchi ya majuha hii. Hatua chache kutoka kwenye uwanja wa uliochezewa mpira kuna kinamama wamelala kwenye sakafu wakisubiri kujifungua na wengine wanafariki kwa kukosa dawa halafu kuna mpumbavu mmoja anatoa fedha kwa kila goli.
 
Sawa bwana mmeshika kwenye makali tutafanyaje sasa .

Ee mnyazi Mungu isaidie timu yangu irudi kwenye fomu kama hapo awali .

Hakuna mazuri yanayodumu ipo siku utainuka tena mnyama
 
Nchi ya majuha hii. Hatua chache kutoka kwenye uwanja wa uliochezewa mpira kuna kinamama wamelala kwenye sakafu wakisubiri kujifungua na wengine wanafariki kwa kukosa dawa halafu kuna mpumbavu mmoja anatoa fedha kwa kila goli.
Huu ujinga huwa unanikera sana. Mwanzo nilidhani wanatumia fedha zao binafsi hivyo sikujali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana fedha binafsi hao wezi. Wanaiba. Hata kama wanapewa na wahindi bado ukweli ni kuwa hawapei bure.
Nchi yetu ni ya kipuuzi sana yaani.

Matajiri wanapewa fedha za kisiasa ambazo hata wasipopewa wao mambo yao yataenda tu bila tabu wakati tuna masikini wengi ambao wapo taabani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini akipata ......................MBWATA!!
 
Wajenge kwanza uwanja kigamboni walikopewa kiwanja bure
Na wakodi ofic posta wahame pale bondeni
Supu zenyewe za buku jero😂😂
Timu maskini wanawaza vitumbua vya miamia,🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…