Jumapili ya supu jangwani

Dunia haipo hivyo kaka yangu
Ni kweli. Lakini ndiyo maana binadamu tumepewa akili... ili turekebishe. Kiongozi wa nchi anapotapanya fedha anazokwapua kwa wizi huku kuna wagonjwa hawana basic care hatupaswi kukaa kimya na kusema dunia ndiyo ilivyo.
 
Hii timu kwakweli imejaa ushamba na utoto mwingi sana. Simba ilishawahi kukanda mtu 5 - 0 (= 5 bila) na haikufanya huu utoto. Ila aliyeshinda 5 - 1 (=4 bila) analeta mashauzi kila baada ya dakika kadhaa.
Tusiwapangie watani wetu jinsi ya kusherekea wale ngombe 10

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Unateseka ukiwa wapi Kolo?
Laiti ungejua nilivyoshangilia game ya juzi wakati akina Aziz Ki wanatupia nyavu hadi nikaingia vita na wanalunyasi wakanichania sweta langu usingeniita kolo kabisa.

Vitu vingine ni kujitambua tu si kusukumwa na mapenzi ya timu. Wewe kwa mtazamo wako Yanga na Simba wanazihitaji sana hizo milioni 5/10 za goli la mama kuliko wale walemavu wanaopigwa jua pale kigongo/busisi wakiomba chenji za abiria wanaokata tiketi kupanda pantoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…