ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Jikite kwenye mada tunajadili familia yangu au supu?Ichukue wewe maskin
Katafute Ada za watoto January
Jipange[emoji120]
Au wanasoma elimu bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada tunajadili familia yangu au supu?Ichukue wewe maskin
Katafute Ada za watoto January
Jipange[emoji120]
Au wanasoma elimu bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utawehuka bure tulia dawa iingieHii timu kwakweli imejaa ushamba na utoto mwingi sana. Simba ilishawahi kukanda mtu 5 - 0 (= 5 bila) na haikufanya huu utoto. Ila aliyeshinda 5 - 1 (=4 bila) analeta mashauzi kila baada ya dakika kadhaa.
5 - 1 = 4. Hili jibu haliwezi kulingana na ile 5 - 0 = 5 ya mwaka 2012.Utawehuka bure tulia dawa iingie
Ni kweli. Lakini ndiyo maana binadamu tumepewa akili... ili turekebishe. Kiongozi wa nchi anapotapanya fedha anazokwapua kwa wizi huku kuna wagonjwa hawana basic care hatupaswi kukaa kimya na kusema dunia ndiyo ilivyo.Dunia haipo hivyo kaka yangu
Chukua zile za 800 kubwaChapati tano ni shingapi!?
Ngombe 10 mtaniWajenge kwanza uwanja kigamboni walikopewa kiwanja bure
Na wakodi ofic posta wahame pale bondeni
Supu zenyewe za buku jero[emoji23][emoji23]
Timu maskini wanawaza vitumbua vya miamia,[emoji1787][emoji1787]
Tusiwapangie watani wetu jinsi ya kusherekea wale ngombe 10Hii timu kwakweli imejaa ushamba na utoto mwingi sana. Simba ilishawahi kukanda mtu 5 - 0 (= 5 bila) na haikufanya huu utoto. Ila aliyeshinda 5 - 1 (=4 bila) analeta mashauzi kila baada ya dakika kadhaa.
Hizo ni shida zako sisi tupo busy na supu5 - 1 = 4. Hili jibu haliwezi kulingana na ile 5 - 0 = 5 ya mwaka 2012.
Laiti ungejua nilivyoshangilia game ya juzi wakati akina Aziz Ki wanatupia nyavu hadi nikaingia vita na wanalunyasi wakanichania sweta langu usingeniita kolo kabisa.Unateseka ukiwa wapi Kolo?