Jumapili ya supu jangwani

Jumapili ya supu jangwani

Sawa bwana mmeshika kwenye makali tutafanyaje sasa .

Ee mnyazi Mungu isaidie timu yangu irudi kwenye fomu kama hapo awali .

Hakuna mazuri yanayodumu ipo siku utainuka tena mnyama
FB_IMG_16995462776342491.jpg
 
Mimi nitaagiza supu ya kiti moto na ndizi
 
Wajenge kwanza uwanja kigamboni walikopewa kiwanja bure
Na wakodi ofic posta wahame pale bondeni
Supu zenyewe za buku jero[emoji23][emoji23]
Timu maskini wanawaza vitumbua vya miamia,[emoji1787][emoji1787]
Acha tushibe kwanza mawaidha utaleta baadae
 
Nchi ya majuha hii. Hatua chache kutoka kwenye uwanja wa uliochezewa mpira kuna kinamama wamelala kwenye sakafu wakisubiri kujifungua na wengine wanafariki kwa kukosa dawa halafu kuna mpumbavu mmoja anatoa fedha kwa kila goli.
Dunia haipo hivyo kaka yangu
 
Hii timu kwakweli imejaa ushamba na utoto mwingi sana. Simba ilishawahi kukanda mtu 5 - 0 (= 5 bila) na haikufanya huu utoto. Ila aliyeshinda 5 - 1 (=4 bila) analeta mashauzi kila baada ya dakika kadhaa.
 
Back
Top Bottom