Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yangu ndo mbayaaa
Yangu haki siielewi ipoje ipoje na inaishaje maana kuna kipupwe cha ajabu.
😅😅imeisha hiyo....🥂🥂
Mi nafikiri tanzania nzima jumapili imekaa vibay🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yangu iko hovyo pia,kila mkeka naotandika leo naangukia pua
Hahaaaa ni kwenu wakuu maana hapa nakula mema ya nchi sina kwere na mtu..Mi nafikiri tanzania nzima jumapili imekaa vibay[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Joanah hadi wewe unabet[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nimwite Danny rafiki yako akutungie mistari[emoji23][emoji23]
Badilisha style,bet opposite na unachotaka kubetYangu iko hovyo pia,kila mkeka naotandika leo naangukia pua
kwa kweli yaani natamani masaa yaende haraka ata lisiku liisheNilijua niko peke yangu..🤣🤣itabidi tufanye tukutane wenye jumapili mbovu wallah 😅😅😅
joanah 😂😂😂😂unabetYangu iko hovyo pia,kila mkeka naotandika leo naangukia pua
Hahaaaa ni kwenu wakuu maana hapa nakula mema ya nchi sina kwere na mtu..
kwa kweliMkuu fanya basi na sisi, Joanah cute eyes na huyu Gratuity Tucci tule mema ya nchi jumapili zetu ziwe poa
naomba nyamaYangu nipo home najipikilisha[emoji4]View attachment 1511055
Xmass na mwaka mpya.Pole mkuu..wewe huwa unapumzikaga lini??