Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Jumapili yako imekaaje na unaimalizia vipi?

Yangu iko hovyo pia,kila mkeka naotandika leo naangukia pua
Mi nafikiri tanzania nzima jumapili imekaa vibay🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Joanah hadi wewe unabet🤣🤣🤣🤣
Ngoja nimwite Danny rafiki yako akutungie mistari😂😂
 
Mi nafikiri tanzania nzima jumapili imekaa vibay[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Joanah hadi wewe unabet[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nimwite Danny rafiki yako akutungie mistari[emoji23][emoji23]
Hahaaaa ni kwenu wakuu maana hapa nakula mema ya nchi sina kwere na mtu..
 
Yangu nipo home najipikilisha[emoji4]
20200719_161934.jpg
 
Back
Top Bottom